Taswira ya ujenzi wa daraja la kigamboni
![](http://4.bp.blogspot.com/-ssjzmXOLj7o/Uu9JeblkRDI/AAAAAAAFKjc/Pd_ZY7BZUW0/s72-c/IMG_0029.jpg)
Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni katika mkondo wa Kurasini (Kurasini Creek) ulioanza mwaka juzi na kutegemewa kukamilika baadaye mwaka huu. Mradi huu wa daraja la kuning'inia, uliobuniwa na kampuni ya Arab Consulting Engineers na kujengwa na wakandarasi kampuni za China Railway Jiangchang Engineering (T) Ltd na China Major Bridge Engineering Company , unamilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa asilimia 60 na Serikali asilimia 40, kwa gharama ya dola 136 za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rR2VwgcRRRE/UzGWCwf_l3I/AAAAAAAAUSg/TGICsLLvTik/s72-c/DSC03259.jpg)
Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni
![](http://2.bp.blogspot.com/-rR2VwgcRRRE/UzGWCwf_l3I/AAAAAAAAUSg/TGICsLLvTik/s1600/DSC03259.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-wh2tWk8bk14/UzGWCa4W7nI/AAAAAAAAUSY/d52Vh3HAzHM/s1600/DSC03245.jpg)
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...
11 years ago
Mwananchi13 May
NSSF yatangaza hasara ujenzi daraja la Kigamboni
10 years ago
MichuziCCM DAR WATEMBELEA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI LINALOJENGWA NA NSSF
9 years ago
MichuziMKAPA AMPONGEZA RAIS KIKWETE, NSSF UJENZI DARAJA LA KIGAMBONI
11 years ago
GPLMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU, DARAJA LA KIGAMBONI
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
Pinda akagua ujenzi wa daraja la Kigamboni na mradi wa nyumba za mashirika ya NSSF na NHC
Waziri Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).