sikiliza mapinduzi ya smartwatch (Saa za kidigitali) katika Power Breakfast on Saturday ndani ya Clouds fm leo asubuhi
![](http://3.bp.blogspot.com/-VBhfd_X1x4M/U-52-cSjrSI/AAAAAAAF_8M/_u8dwaDAU2E/s72-c/unnamed%2B(29).jpg)
#DidYouKnow: Mpaka nusu ya mwaka 2014 zaidi ya makampuni 400 duniani yaliwekeza kwenye teknolojia ya #Smartwatch na nusu ya makampuni hayo yanatokea #China na #Marekani. Kwa nusu mwaka huo zaidi ya saa za kidigitali Mil 3.4 ziliuzwa duniani kote na kutengeneza faida ya zaidi ya Dola Milioni 700. Je,Tanzania imeipokea vipi teknolojia hii.? Kwa hayo na mengine mengi sikiliza uchambuzi yakinifu wa Brown Nyanza ndani ya #CloudsFm kesho kuanzia saa moja asubuhi kwenye kipindi cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM22 Jan
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-LdKMMlojVkM/VUD8UurMTDI/AAAAAAAHUHQ/R8yFGHMOszc/s1600/ZARI%26DIAMOND-Excl-Interview-FIN.jpg)
10 years ago
CloudsFM02 Dec
MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka
10 years ago
CloudsFM02 Dec
PICHA:MASOUD KIPANYA NA FINA MANGO WAKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST WAKIZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM
Watangazaji wa zamani wa Clouds FM,Masoud Kipanya na Fina Mango wakizungumzia miaka 15 ya redio ya watu kwenye kipindi cha Power Breakfast wakiwa na mtangazaji wa kipindi hicho,Gerald Hando....PICHA ZAIDI ZINAWAJIA SOON...
10 years ago
CloudsFM02 Dec
PICHA ZAIDI :MASOUD KIPANYA NA FINA MANGO WAKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST WAKIZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM
Masoud Kipanya,Fina Mango wakiwa na Husna Abdul 'Dahuu'.
Waziri Njenje aka Babu Njenje naye alikuwepo mjengoni kwenye sherehe za miaka 15 ya Clouds fm.
10 years ago
Michuzi17 Jun
10 years ago
CloudsFM12 Dec
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
BUNGE KUENDELEA LEO SAA TANO ASUBUHI
9 years ago
Michuzi29 Nov