KISOMO CHA BABA YAKE ALLY MUSSA MIKIDADI DMV
Sala ya magharibi ikiendelea katika kisomo cha mpendwa baba yake Ally Mussa Mikidadi kilichofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki huku wengine wakitokea New York na New Jersey.Kulia ni Ally Mussa Mikidadi akifuatilia sala ya magharibi iliyoanza kabla ya kisomo cha mpendwa baba yake aliyefariki siku ya Jumamosi March 21, 2015 Dar es Saam, Tanzania na kuzikwa siku ya Jumapili March 22, 2015 katika makaburi ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKISOMO KILICHOSOMWA MARYLAND USA KUMUOMBEA BABA MPENDWA WA KAKA YETU ALI MUSSA MIKIDADI
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB MUSSA CHAFANYIKA DMV
Ustaadh Mudy Mabenzi akiongoza kisomo cha mama yake Yasin Randi Marehemu Zanab Mussa kilichofanyika siku ya Jumampili Desemba 14, 2014 nyumbani kwao Hyattsville, Maryland nchini Marekani.
Ustaadh Ally Mussa aisaidiana na mauutadh wenzake katika kisomo na mpendwa mama yake Yasin Randi marehemu Zainab Mussa kilichofanyika siku ya Jumapili Desemba 14, 2014. Kushoto ni Abdul Sebo akifuatilia kisomo.Ustaadh Abdulmalik akisaidiana na Ally Mussa na Mudy Mabenzi (hawapo pichani) kuongoza kisomo cha...
10 years ago
VijimamboMTANZANIA WA DMV AHANI MSIBA WA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA JIJINI DAR ES SALAAM
Alawi (kushoto) akitoa mkono wa pole kwa Bi.Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi) siku ya Jumapili March 22, 2015 nyumbani kwa marehemu Magomeni Mapipa jijini Dar Es Salaam, kulia ni Bure mjomba wake Ally Mikidadi na kaka ya Bi. Badria. Ally Mikidadi ni mkazi wa Hyattsville, Maryland nchini Marekani aliyefiwa na baba yake mzazi nchini Tanzania na misba hapa DMV upo 6200 Ager Road, Hyattsville, Maryland. Alawi akipata picha na mjomba BureMazishi ya Marehemu mzee Mikidadi yaliyofanyika siku ya...
10 years ago
Vijimambo13 Dec
KISOMO CHA HITMA JUMAPILI DMV
Kisomo cha hitma kitafanyika nyumbani kwa mfiwa DMV anuani ni 2608 Kirkwood Pl Apt # 201, Hyattsville MD 20782 kufika kwako ndio kufanikisha kisomo hiki.
Kwa taarifa zaidi na...
9 years ago
VijimamboKISOMO CHA ABU TWALIBU ZUBERI DMV
11 years ago
GPLKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB BUZOHERA DMV
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA MAULID YA MTUME (SAW) KILICHOFANYIKA DMV, USA
Dua ikiendelea ikisomwa na Ustadh Ibrahim (alietupa mgongo) baada ya maulidi kumalizikaKwa umakini na unyenyekevu wakionekana wakiitikia dua ilikuwa ikisomwa na ustadh ( hayupo pichani)
Maustadh wakuu wakibadilishana mawazo na kutathimini jinsi gani maulidi yalivyofanikishwa kwa siku ya leo
AKINA DADA
Loveness ( kushoto) pamoja na waumini wengine bila kujali imani zao walijumuika pamoja katika kisoma cha maulidi, tuwe na mshikamano wa pamoja wana DMV. huu ni mfano mzuri
picha za chini na juu...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
KISOMO CHA MAREHEMU MAMA MPENDWA BI. AZIZA S. BORORO DMV
10 years ago
VijimamboKISOMA CHA KUMUOMBEA MZEE WETU, BABA WA ALI MUSSA HYATTSVILLE, MARYLAND