KISOMO CHA HITMA JUMAPILI DMV
Tujumuike na Yasin Randi (wa kijiwe cha ughaibuni) kwenye kisomo cha hitma ya mama yake mpendwa Zainabu Mussa siku ya Jumapili Desemba 14, 2014 kuanzia saa 8 mchana Marehemu alifikwa na mauti Tanzania Desemaba 8, 2014 nyumbani kwake Mbagala na maziko yalifanyika Jumanne Desemba 9, 2014 katika makaburi ya Mbagala.
Kisomo cha hitma kitafanyika nyumbani kwa mfiwa DMV anuani ni 2608 Kirkwood Pl Apt # 201, Hyattsville MD 20782 kufika kwako ndio kufanikisha kisomo hiki.
Kwa taarifa zaidi na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDKT SHEIN AONGOZA KISOMO CHA HITMA YA KUMUOMBEA MZEE ABEID AMAAN KARUME ZANZIBAR
9 years ago
VijimamboKISOMO CHA ABU TWALIBU ZUBERI DMV
11 years ago
GPLKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB BUZOHERA DMV
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA MAULID YA MTUME (SAW) KILICHOFANYIKA DMV, USA
Dua ikiendelea ikisomwa na Ustadh Ibrahim (alietupa mgongo) baada ya maulidi kumalizikaKwa umakini na unyenyekevu wakionekana wakiitikia dua ilikuwa ikisomwa na ustadh ( hayupo pichani)
Maustadh wakuu wakibadilishana mawazo na kutathimini jinsi gani maulidi yalivyofanikishwa kwa siku ya leo
AKINA DADA
Loveness ( kushoto) pamoja na waumini wengine bila kujali imani zao walijumuika pamoja katika kisoma cha maulidi, tuwe na mshikamano wa pamoja wana DMV. huu ni mfano mzuri
picha za chini na juu...
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB MUSSA CHAFANYIKA DMV
Ustaadh Mudy Mabenzi akiongoza kisomo cha mama yake Yasin Randi Marehemu Zanab Mussa kilichofanyika siku ya Jumampili Desemba 14, 2014 nyumbani kwao Hyattsville, Maryland nchini Marekani.
Ustaadh Ally Mussa aisaidiana na mauutadh wenzake katika kisomo na mpendwa mama yake Yasin Randi marehemu Zainab Mussa kilichofanyika siku ya Jumapili Desemba 14, 2014. Kushoto ni Abdul Sebo akifuatilia kisomo.Ustaadh Abdulmalik akisaidiana na Ally Mussa na Mudy Mabenzi (hawapo pichani) kuongoza kisomo cha...
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA BABA YAKE ALLY MUSSA MIKIDADI DMV
10 years ago
Vijimambo08 Jan
KISOMO CHA MAREHEMU MAMA MPENDWA BI. AZIZA S. BORORO DMV
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU NA FUTARI YA PAMOJA SIKU YA JUMAPILI HUKO SILVER SPRING MD USA
Baada ya kisomo cha kumuombea marehemu baba wa Fatma Khalfan, ikiendelea ikiongozwa na ustadh Mohammed Saleh, baadae sala ya magharib ikifuatiwa na kama desturi waumini kupata futari
Keki ya Father's Day ilioandaliwa na akina mama kuwapongea baba wa watoto wao katika futari ya pamoja iliofanyika katika mji wa Silver Spring Maryland, USA
Dada Asha Haridh akiwahudukia watoto kukata keki ya Father's Day, ikiwa ishara ya kuwapongeza akina baba
meya wa jiji la greenbelt Sheikh Seif akiwa na...
10 years ago
Vijimambo07 Jan
HITMA DMV JUMAMOSI JANUARY 17, 2015
Familia ya Sakapala inapenda kuwataarifu HITMA ya Marehemu Jamila Simba Sakapala itakayofanyika Siku ya Jumamosi January 17, 2015Anuani:Wheaton Claridge Local Park11901 Claridge Road,Silver Spring, MD 20902
Kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jiioni (2pm -6pm).Ukipata taarifa hii tunaomba umtaarifu na mwingine.
Kwa maelekezo zaidi wasiliana na...Zawadi Sakapalla-Ukondwa (301 379 2342)Abdoul Simba Sakapala(202 758 7805)