HITMA DMV JUMAMOSI JANUARY 17, 2015
Familia ya Sakapala inapenda kuwataarifu HITMA ya Marehemu Jamila Simba Sakapala itakayofanyika Siku ya Jumamosi January 17, 2015Anuani:Wheaton Claridge Local Park11901 Claridge Road,Silver Spring, MD 20902
Kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jiioni (2pm -6pm).Ukipata taarifa hii tunaomba umtaarifu na mwingine.
Kwa maelekezo zaidi wasiliana na...Zawadi Sakapalla-Ukondwa (301 379 2342)Abdoul Simba Sakapala(202 758 7805)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Apr
MISA YA KUMBUKUMBU DMV JUMAMOSI APRIL 11, 2015
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/9/99/St._Joseph_Cathedral_Wheeling_WV_1.jpg)
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV JUMAMOSI MARCH 28, 2015
Mwalimu Asha Nyang'anyi akiwafundisha kiswahili watoto wa wazazi wa Tanzania wanajifunza kuzungumuza ikiwemo kusoma na kuandika lugha ya kiswahili katika Darasa la kiswahili linaloendelea kila siku ya Jumamosi kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa 12 jioni Silver Spring, Maryland na darasa likiwa chini ya Jumuiya ya Watanzania DMV.
10 years ago
Vijimambo11 Apr
MISA YA KUMBUKUMBU DMV LEO JUMAMOSI APRIL 11, 2015
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/9/99/St._Joseph_Cathedral_Wheeling_WV_1.jpg)
10 years ago
Vijimambo13 Dec
KISOMO CHA HITMA JUMAPILI DMV
Tujumuike na Yasin Randi (wa kijiwe cha ughaibuni) kwenye kisomo cha hitma ya mama yake mpendwa Zainabu Mussa siku ya Jumapili Desemba 14, 2014 kuanzia saa 8 mchana Marehemu alifikwa na mauti Tanzania Desemaba 8, 2014 nyumbani kwake Mbagala na maziko yalifanyika Jumanne Desemba 9, 2014 katika makaburi ya Mbagala.
Kisomo cha hitma kitafanyika nyumbani kwa mfiwa DMV anuani ni 2608 Kirkwood Pl Apt # 201, Hyattsville MD 20782 kufika kwako ndio kufanikisha kisomo hiki.
Kwa taarifa zaidi na...
Kisomo cha hitma kitafanyika nyumbani kwa mfiwa DMV anuani ni 2608 Kirkwood Pl Apt # 201, Hyattsville MD 20782 kufika kwako ndio kufanikisha kisomo hiki.
Kwa taarifa zaidi na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Q0Pa4RyHSes/VMg9InMGcCI/AAAAAAAAH1Q/sP_NxrcZI2U/s72-c/Darasa%2Bla%2Bkiswahili%2BDMV.jpg)
Darasa la Kiswahili DMV. Jumamosi hii na kila jumamosi
![](http://3.bp.blogspot.com/-Q0Pa4RyHSes/VMg9InMGcCI/AAAAAAAAH1Q/sP_NxrcZI2U/s640/Darasa%2Bla%2Bkiswahili%2BDMV.jpg)
Sasa linafanyika kila Jumamosi kuanzia saa 9 kamili alasiri mpaka saa 11 kamili jioni
Anwani ni...
1700 April Lane,
Silver Spring, MD 20904
KARIBUNI NYOTE
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-tOewzHQxuJ0/UsRgTjbQcXI/AAAAAAAADHw/Lf3-tBifTTw/s72-c/logo.jpg)
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-tOewzHQxuJ0/UsRgTjbQcXI/AAAAAAAADHw/Lf3-tBifTTw/s1600/logo.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-UvwL3Rs9NRk/VAnpx8TJ9mI/AAAAAAAAEVE/b48w150g9ko/s1600/logo%2Btanzania.jpg)
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-2aN7EqULMVg/VOA-w7tSj5I/AAAAAAAAGA8/TMIs4TSe4zE/s1600/14-1.jpg)
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...
11 years ago
GPLJANUARY MAKAMBA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV
Naibu Waziri wa mawasiliano, sayansi na teknologia, Mhe. January Makamba akiongozana na Afisa Ubalozi Mindi Kasiga siku ya Jumamosi Dec 7, 2013 College Park Maryland, siku alipotembelea darasa la Kiswahili DMV.
Mhe. January Makamba akisalimiana na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania mara tu alipoingia kwenye darasa hilo Jumamosi Dec 7, 2013 College Park, Maryalnd.…
...
10 years ago
Vijimambo24 Mar
KISOMO JUMAMOSI DMV
Ally Mussa Mikidadi anawataarifu kisomo cha marehemu mpendwa baba yake kitakachofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 saa 11 jioni (5pm) anuani ya mahali kitakapofanyika kisomo ni Pinecrest Local Park301 St. Laurance DrSilver Spring, MD
Kama ilivyo kawaida yetu kusaidiana na kushikamana hasa katika kipindi hiki kigumu cha Ally Mussa Mikidadi kuondokewa na mpendwa baba yake, tunaomba msaada kwa wakina baba walete vinywaji na akina mama tusaidiane vyakula ili tuweze kufanikisha shughuli hii...
Kama ilivyo kawaida yetu kusaidiana na kushikamana hasa katika kipindi hiki kigumu cha Ally Mussa Mikidadi kuondokewa na mpendwa baba yake, tunaomba msaada kwa wakina baba walete vinywaji na akina mama tusaidiane vyakula ili tuweze kufanikisha shughuli hii...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-3MIIPSNzsx0/VYy_uJY4M6I/AAAAAAAAGUY/klZVOivtAAY/s72-c/farida-catering%2B%25281%2529.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania