Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISOMO CHA ABU TWALIBU ZUBERI DMV

Kushoto ni Mzee Zuberi akiwasilisi kwa ajili ya kisomo cha mdogo wake kilichofanyika siku ya Jumamosi  Septemba 26, 2015 Silver Spring, Maryland wengine katika picha ni Milanga (kulia ) na Joseph Mzanila. PICHA NA VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTIONKulia na Mzee Zuberi akiwa kwenye kisomo cha mdogo wake Abu Twalibu Zuberi kilichofanyika siku ya Jumamosi  Septemba 26, 2015 Silver Spring, Maryland. Mwingine katika picha ni Bwn Abbas Missana ambaye ni Afisa Ubalozi wa Ubalozi wa Tanzania nchini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA HITMA JUMAPILI DMV

Tujumuike na Yasin Randi (wa kijiwe cha ughaibuni) kwenye kisomo cha hitma ya mama yake mpendwa Zainabu Mussa siku ya Jumapili Desemba 14, 2014 kuanzia saa 8 mchana Marehemu alifikwa na mauti Tanzania Desemaba 8, 2014 nyumbani kwake Mbagala na maziko yalifanyika Jumanne Desemba 9, 2014 katika makaburi ya Mbagala.

Kisomo cha hitma kitafanyika nyumbani kwa mfiwa DMV  anuani ni 2608 Kirkwood Pl Apt # 201, Hyattsville MD 20782 kufika kwako ndio kufanikisha kisomo hiki.

Kwa taarifa zaidi na...

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB MUSSA CHAFANYIKA DMV


Ustaadh Mudy Mabenzi akiongoza kisomo cha mama yake Yasin Randi Marehemu Zanab Mussa kilichofanyika siku ya Jumampili Desemba 14, 2014 nyumbani kwao Hyattsville, Maryland nchini Marekani.
Ustaadh Ally Mussa aisaidiana na mauutadh wenzake katika kisomo na mpendwa mama yake Yasin Randi marehemu Zainab Mussa kilichofanyika siku ya Jumapili Desemba 14, 2014. Kushoto ni Abdul Sebo akifuatilia kisomo.Ustaadh Abdulmalik akisaidiana na Ally Mussa na Mudy Mabenzi (hawapo pichani) kuongoza kisomo cha...

 

11 years ago

GPL

KISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB BUZOHERA DMV‏

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiongea kwenye kisomo cha mpendwa wetu Zainab Buzohera kulichofanyika jana Jumanne Jan 7, 2013 katika ukumbi wa mirage uliopo Langeley Park, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV na majimbo mengine kama New York, New Jersey, Massachusetts, Georgia, Ohio, Pennsylvania na kwingineko. Mwili utaondoka leo Jumatano Jan 8, 2014 na kufika Ijumaa Dar ses Salaam, Tanzania siku ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA MAULID YA MTUME (SAW) KILICHOFANYIKA DMV, USA



Dua ikiendelea ikisomwa na Ustadh Ibrahim (alietupa mgongo) baada ya maulidi kumalizikaKwa umakini na unyenyekevu wakionekana wakiitikia dua ilikuwa ikisomwa na ustadh ( hayupo pichani) 
Maustadh wakuu wakibadilishana mawazo na kutathimini jinsi gani maulidi yalivyofanikishwa kwa siku ya leo


AKINA DADA

 Loveness ( kushoto) pamoja na waumini wengine bila kujali imani zao walijumuika pamoja katika kisoma cha maulidi, tuwe na mshikamano wa pamoja wana DMV. huu ni mfano mzuri
 picha za chini na juu...

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA BABA YAKE ALLY MUSSA MIKIDADI DMV

Sala ya magharibi ikiendelea katika kisomo cha mpendwa baba yake Ally Mussa Mikidadi kilichofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki huku wengine wakitokea New York na New Jersey.Kulia ni Ally Mussa Mikidadi akifuatilia sala ya magharibi iliyoanza kabla ya kisomo cha mpendwa baba yake aliyefariki siku ya Jumamosi March 21, 2015 Dar es Saam, Tanzania na kuzikwa siku ya Jumapili March 22, 2015 katika makaburi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA MAREHEMU MAMA MPENDWA BI. AZIZA S. BORORO DMV

Familia ya Bwana Shariff na Bi Jamila inapenda kuwataarifu juu ya KISOMO cha kumaliza msiba wa mpendwa marehemu Mama yao Bi Aziza S.Bororo kitakachofanyika siku ya Jumamosi 01/10/15 nyumbani kwao kuanzia saa nane na nusu (2.30pm) Adress ni 12726 Gladys Retreat Circle Bowie ,Md 20720 .Tafadhali ukipata taarifa hii mjulishe mwenzako .Contact # 301-674-9667 Shariff202 -271-1860 Aunt Grace 301-395-5133 Aisha.

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO JUMAMOSI DMV

Ally Mussa Mikidadi anawataarifu kisomo cha marehemu mpendwa baba yake kitakachofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 saa 11 jioni (5pm) anuani ya mahali kitakapofanyika kisomo ni Pinecrest Local Park301 St. Laurance DrSilver Spring, MD
Kama ilivyo kawaida yetu kusaidiana na kushikamana hasa katika kipindi hiki kigumu cha Ally Mussa Mikidadi kuondokewa na mpendwa baba yake, tunaomba msaada kwa wakina baba walete vinywaji na akina mama tusaidiane vyakula ili tuweze kufanikisha shughuli hii...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA KISOMO DMV



Assalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatu


Kwa niaba ya familia ya ndugu yetu Saleh Mohammed wa DC tunapenda kuwaarifu kufanyika kwa kisomo cha kumuombea dua mzee wao, na wazee na jamaa zetu wote waliotangulia mbele ya haki.
Kisomo kitafanyika siku ya Jumaapili, Tarehe 21, June 2015 kabla ya futari yetu ya pamoja.

Adress ni 9717 Lawndale Dr, Silver Spring MD 20901.

Tunawaomba tufike mapema ili tuweze kufanikisha shughuli hii kwa wakati kabla ya Sala ya Magharibi.

SIKU YA WAHITIMU [GRADUATES...

 

9 years ago

Vijimambo

TANGAZO LA KISOMO DMV


Ndugu yetu Majid Zuberi anatuarifu Kisomo cha Hitima za Marehemu Mdogo Wake Abu Twalibu Zuberi Kajwangya Na Mama Mlezi Rehema Kajwangya misiba yote imetokea Kanyigo Bukoba.
Siku ya Jumamosi September 26, 2015Kuanzia Saa Kumi na Mbili jioni hadi Saa Tatu usiku (6PM – 9PM)
Anuani:Indian Spring Terrace Local Park9717 Lawndale Dr.Silver Spring, MD  20901
Kama Ilivyo ada, tunawaomba WaTanzania na Wana Jumuia wote wa hapa DMV tujumuike kwa Pamoja.
Ukipata Taarifa hii Tafadhali Mjulishe na Mwenzio.
Kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani