KISOMO CHA MAULID YA MTUME (SAW) KILICHOFANYIKA DMV, USA
Dua ikiendelea ikisomwa na Ustadh Ibrahim (alietupa mgongo) baada ya maulidi kumalizika
Kwa umakini na unyenyekevu wakionekana wakiitikia dua ilikuwa ikisomwa na ustadh ( hayupo pichani)
Maustadh wakuu wakibadilishana mawazo na kutathimini jinsi gani maulidi yalivyofanikishwa kwa siku ya leo
AKINA DADA Loveness ( kushoto) pamoja na waumini wengine bila kujali imani zao walijumuika pamoja katika kisoma cha maulidi, tuwe na mshikamano wa pamoja wana DMV. huu ni mfano mzuri
picha za chini na juu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKISOMO KILICHOFANYIKA DELAWARE JUMAPILI
10 years ago
Vijimambo13 Dec
KISOMO CHA HITMA JUMAPILI DMV
Kisomo cha hitma kitafanyika nyumbani kwa mfiwa DMV anuani ni 2608 Kirkwood Pl Apt # 201, Hyattsville MD 20782 kufika kwako ndio kufanikisha kisomo hiki.
Kwa taarifa zaidi na...
9 years ago
VijimamboKISOMO CHA ABU TWALIBU ZUBERI DMV
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB MUSSA CHAFANYIKA DMV
Ustaadh Mudy Mabenzi akiongoza kisomo cha mama yake Yasin Randi Marehemu Zanab Mussa kilichofanyika siku ya Jumampili Desemba 14, 2014 nyumbani kwao Hyattsville, Maryland nchini Marekani.
Ustaadh Ally Mussa aisaidiana na mauutadh wenzake katika kisomo na mpendwa mama yake Yasin Randi marehemu Zainab Mussa kilichofanyika siku ya Jumapili Desemba 14, 2014. Kushoto ni Abdul Sebo akifuatilia kisomo.
11 years ago
GPLKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB BUZOHERA DMV
10 years ago
Vijimambo08 Jan
KISOMO CHA MAREHEMU MAMA MPENDWA BI. AZIZA S. BORORO DMV
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA BABA YAKE ALLY MUSSA MIKIDADI DMV
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU NA FUTARI YA PAMOJA SIKU YA JUMAPILI HUKO SILVER SPRING MD USA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-r38GzDN2x1M/VKk2WsU73yI/AAAAAAAG7MM/jTrNZJaZMkU/s72-c/IMG_9273.jpg)
SHEREHE ZA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD S.A.W. ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-r38GzDN2x1M/VKk2WsU73yI/AAAAAAAG7MM/jTrNZJaZMkU/s1600/IMG_9273.jpg)