Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISOMA CHA KUMUOMBEA MZEE WETU, BABA WA ALI MUSSA HYATTSVILLE, MARYLAND

Ndugu yetu Ali Mussa  picha ya juu akiwa na baadhi ya  watu walioshiriki katika kisomo cha kumuombea dua baba yake mzazi mwenyezi mungu amuondolee maradhi yake yanayomsumbua kwa muda mrefu sasa,  Ustadh Mohammed akiendeleza dua ya kumuombea mzee wetu aondokewe na maradhi, kwa uwezo wake allah atutakabalie dua zetu, maradhi yamtoke, amin










Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KISOMO KILICHOSOMWA MARYLAND USA KUMUOMBEA BABA MPENDWA WA KAKA YETU ALI MUSSA MIKIDADI

Kisomo cha kumuombea dua marehemu Mussa Mikidadi baba wa ndugu yetu Ali Mussa Mikidadi kilifanyika jana jumamosi Hyattsville MarylamAli Mussa akiwa katika kisomo cha mpendwa baba yake kikiendelea kusomwa na ustadh ambae hayupo pichani Ustadh Ibrahim akiongoza kisomo siku ya jana jumamosi kumuombea baba yetu mpendwa pamoja na watu wengine walioshiriki katika kisomo hichoAli Mussa akiwa mmoja walioongoza kisomo cha kumumbea dua marehemu baba yakekilichofanyika jana JumamosiAger road...

 

5 years ago

Michuzi

Kamishna Dkt Mussa Ali Mussa afungua kikao cha kujadili uhalifu unaovuka mipaka

 Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii Dkt, CP Mussa Ali Mussa (katikati) akiingia katika ukumbi wa Hotel ya Landmark Kunduchi Jijini Da es Salaam alipokwenda kufungua mkutano wa kujadili na kupanga mikakati ya kuzuia makosa yanayovuka mipaka. Mkutano huo umeshirikisha nchi wanachama 16 kutoka shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika ( EAPCCO). Kulia ni Mkuu wa ofisi za Interpol Mashariki mwa Afrika, Gedion Kimilu. Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo wa Chuo cha Masomo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA KWENYE DUA YA KUMUOMBEA BABA MZAZI WA MKE WA BWANA KIBODYA MZEE ABBAS K. MANG'ULO

Bwana Kibodya katikati wakati wa dua ya kumuombea baba mkwe wake mzee Abbas K. Mang'ulo aliefariki huko Tanzania wiki iliyopita. Dua hiyo iliyofanyika Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Mass na kuudhuliwa na dungu pamoja na marafiki kutoka Miji ya Boston, New York, New Jersey na Springfield yenyewe.Huyu hapa ni Bwana Kibodya akitanguliza shukrani kwa niaba ya mke wake mbele ya watu waliojitokeza kwenye dua hiyo.Khajat Swalha Kibodya, mke wa bwana Isaac Kibodya akionekana...

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA BABA YAKE ALLY MUSSA MIKIDADI DMV

Sala ya magharibi ikiendelea katika kisomo cha mpendwa baba yake Ally Mussa Mikidadi kilichofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki huku wengine wakitokea New York na New Jersey.Kulia ni Ally Mussa Mikidadi akifuatilia sala ya magharibi iliyoanza kabla ya kisomo cha mpendwa baba yake aliyefariki siku ya Jumamosi March 21, 2015 Dar es Saam, Tanzania na kuzikwa siku ya Jumapili March 22, 2015 katika makaburi ya...

 

10 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AONGOZA KISOMO CHA HITMA YA KUMUOMBEA MZEE ABEID AMAAN KARUME ZANZIBAR

Na Rajab Mkasaba, Ikulu ZanzibarRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein Jana  ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar.  Hitma hiyo, ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Kharib Bilal, Rais mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Sita, Mhe. Amani Abeid Karume,...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE LUANGISA ILIYOFANYIKA NEW YORK

Maura Mwingira, Charge d' affaires a.i wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akitoa pole kwa watoto wa Mzee Luangisa kwa niaba ya balozi alipata nafasi ya kuongea machache mbele ya Watanzania waliojitokeza kwenye misa hiyo ya kumuombea marehemu mzee Luangisa pamoja na kuaga mwili wake tayari kwa safari ya kwenda nyumbani Bukoba Tanzania kwa mazishi.Mtoto wa marehem Kwame akitoa wasifu wa mzee Luangisa wasifu huo uliwatoa machozi watu kutokana jinsi mzee Luagisa...

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA MISA NA KUAGA MWILI WA MZEE EDDIS MGAWE SILVER SPRING, MARYLAND

Jeneza lililobeba mwili wa mpendwa Mzee Eddis Mgawe likiwa mbele ya Kanisa la Bethel World Outreach Church Lililopo Silver Spring, Maryland ilikofanyika Ibada ya misa ya kumuaga Mzee Eddis Mgawe siku ya Alhamis April 2, 2015 na Watanzania DMV na wengine kutoka majimbo mengine kujumuika pamoja na familia wakiwemo wafanyakazi wa Voice Of America (VOA) wakiongozwa na mkuu wa kitengo hicho cha idhaa ya kiswahili Dr. Hamza Mwamoyo. Mtoto wa marehemu, Mary Mgawe ni mfanyakazi wa idhaa ya Kiswahili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani