BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA KIFO CHA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na r7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa na Rais wa ADA, John Chipaka.
Msajili Msaidizi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sl485ffxMkw/VhLrp67HWKI/AAAAAAAH9PE/HUtNrMbZiSY/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Baraza la Vyama vya Siasa nchini latuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mchungaji Mtikila
![](http://2.bp.blogspot.com/-sl485ffxMkw/VhLrp67HWKI/AAAAAAAH9PE/HUtNrMbZiSY/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/1-0011.jpg?width=650)
KIFO CHA MTIKILA; BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHA KIKAO
9 years ago
MichuziMWENYEKITI wa chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila azikwa kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa
![](http://4.bp.blogspot.com/-JfsniHqQuLE/VhaUgp0uifI/AAAAAAACBVo/YW1k6sEm_rw/s640/20151008_141201.jpg)
Mhe. Deo Filikunjombe akiongea wakati wa mazishi ya Mwenyekiti wa chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-X4doVtKLdCE/VhaW-wOj85I/AAAAAAACBWI/czbEaHjylxk/s640/20151008_141219.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-KnS_ehTggc0/Vhacv89XSdI/AAAAAAACBWk/lqxuJWLX6Pw/s640/20151008_141335.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-LpFSxClOsTo/Vhadxin7m5I/AAAAAAACBWs/I4IcjSo1KtQ/s640/20151008_151006.jpg)
9 years ago
Dewji Blog05 Oct
JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Christopher-Mtikila.jpg)
TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA
9 years ago
StarTV22 Nov
Hofu yatanda kwa viogozi wa vyama vya siasa mkoani Geita kuhusu Kifo Cha Mawazo
Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Mkuu wa Wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie amesema kuna dalili za baadhi ya watu kutaka kuchafua amani iliyopo Wilayani hapo kwa kutoa taarifa zisizo na ukweli juu ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Alphonce Mawazo huku na baadhi ya watu kutishiwa maisha.
Amesema kuwa zipo taarifa za kiintelijensia na pia ushahidi wa ujumbe mfupi unaotishia kuwaua viongozi wa vyama vya siasa Wilaya na Mkoa wa Geita wakihusishwa na tukio la Kifo cha...
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Pengine Mchungaji Christopher Mtikila aliwahi mno kuzaliwa Tanzania!
NIKIWA kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Pugu kati ya mwaka 1992 na1994, nilikuwa
Kitila Mkumbo
9 years ago
Dewji Blog04 Oct
Breaking News: Mchungaji Christopher Mtikila afariki dunia leo alfajiri
Taarifa zilizotufikia hivi punde katika chumba chetu cha habari, Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani) amepata ajali na kufariki dunia alfajiri ya leo eneo la Msolwa-Chalinze.
Modewji blog inaungana na wanachama wa DP pamoja na watanzania wote katika kuomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Mchungaji Mtikila Amen.
Pichani ni gari iliyopinduka na kumuua Mchungaji Mtikila.
Taarifa za kifo chake...
9 years ago
Vijimambo07 Oct
MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA
![8](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/10/812.jpg)
![L](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/10/L.jpg)