Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFO CHA MTIKILA; BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHA KIKAO

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya Siasa nchini, Peter Kuga Mziray, Msajili Msaidizi vyama vya Siasa, Sist Nyahoza, na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Monica Laurent. Mwenyekiti Baraza la Kamati ya Bunge na Siasa na rais wa TADEA , John Lifachipaka (kushoto), Peter Kuga Mziray (akisoma taarifa yake), Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa na Sist Nyahoza. Wanahabari wakichukua tukio. Isome habari yote hapa===>PRESS...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA KIFO CHA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na r7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa na Rais wa ADA, John Chipaka.Msajili Msaidizi wa...

 

9 years ago

Michuzi

Baraza la Vyama vya Siasa nchini latuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mchungaji Mtikila

 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mzirai (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa salamu za rambirambi na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika Hoteli Bwawani Zanzibar  hadi tarehe nyingine itakapotangazwa tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea...

 

9 years ago

StarTV

Hofu yatanda kwa viogozi wa vyama vya siasa mkoani Geita kuhusu Kifo Cha Mawazo

Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Mkuu wa Wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie amesema kuna dalili za baadhi ya watu kutaka kuchafua amani iliyopo Wilayani hapo kwa kutoa taarifa zisizo na ukweli juu ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Alphonce Mawazo huku na baadhi ya watu kutishiwa maisha.

Amesema kuwa zipo taarifa za kiintelijensia na pia ushahidi wa ujumbe mfupi unaotishia kuwaua viongozi wa vyama vya siasa Wilaya na Mkoa wa Geita wakihusishwa na tukio la Kifo cha...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sauti:Mkutano wa baraza la vyama vya siasa — Zanzibar

Sikiliza repoti ya Salma Said,

The post Sauti:Mkutano wa baraza la vyama vya siasa – Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA WAFANYIKA ZANZIBAR.

Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati wa kuomba Dua Mkutano huo wa Baraza la Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania uliovikutanisha Viongozi wa Vyama 22 vya Siasa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Bwawani Zanzibar, wa kwanza Jaji Lubuva Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Mzirai na Msajili Msaidi wa Vyama vya Siasa Tanzani Mhe Ibrahim Mkwawa.Mmoja wa Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania akiuombea Mkutano huo wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania uliofanyika katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani