Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meja Jenerali Msemwa kuzikwa leo

MWILI  wa aliyekuwa  Meja Jenerali  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kevin Msemwa, umewasili  mjini Songea na  kupokewa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Rais Kikwete amuaga Meja Jenerali Kelvin Msemwa

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na Maendeleo ya Jeshi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Kevin Gerald Msemwa wakati wa hafla ya kuaga mwili wake iliyofanyika katika uwanja wa makao makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Upanga jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Ikulu).MWILI wa aliyekuwa Meja Jenerali Kelvin Msemwa (59) umeagwa jana Dar es Salaam kwa taratibu za kijeshi ambapo Rais Jakaya Kikwete aliongoza waombolezaji.

 

11 years ago

Michuzi

heshima za mwisho kwa marehemu Meja Jenerali Kelvin Gabriel Msemwa

Hafla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Jeshi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Marehemu Meja Jenerali Kelvin Msemwa iliyofanyika uwanja wa makao makuu ya Jeshi, Upanga, Dar es salaam, April 6, 2014. Marehemu alifariki dunia April 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo. Mwili wake unasafirishwa kuelekea Songea kwa mazishi Jumatatu April 7, 2014

 

5 years ago

Michuzi

CGP SULEIMAN MZEE APANDISHWA CHEO NA RAIS MAGUFULI TOKA BREGEDIA JENERALI KUWA MEJA JENERALI



Meja Jenerali Suleiman Mzee ambaye pia ni Kamishna Jenerali wa Magereza, akizungumza na Maafisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(hawapo pichani) mapema leo Juni 3, 2020 katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza leo Juni 3, 2020, jijini Dodoma. Meja Jenerali Mzee amepandishwa cheo hicho na Rais na...

 

10 years ago

Habarileo

Brigedia Jenerali Mtezo kuzikwa leo

BRIGEDIA Jenerali mstaafu, Hashimu Said Mtezo (69) wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambaye alifariki mwishoni mwa wiki, anatarajiwa kuzikwa leo Mbezi Louis jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mtanzania

Brigedia Jenerali Mbita kuzikwa leo

mbitaAdam Mkwepu na Easther Mnyika, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita (82), anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.
Mbita aliyefariki dunia Mei 26, mwaka huu katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, anatarajiwa kuzikwa leo alasiri katika makaburi ya Kisutu.
Kifo cha mpigania uhuru huyo wa nchi za Afrika kimewagusa viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali ambapo Katibu Mkuu wa Chama...

 

11 years ago

Michuzi

mwili wa meja jenerali mstaafu bakari shaabani wawasili zanzibar tayari kwa maziko leo

 Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan enzi za uhai wake  Maafisa wa vikosi mbali mbali vua Ulinzi vya zanzibar wakiusubiri mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan ukitokea katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam baada ya kufariki jana.
 Baadhi ya wananchi na wanafamilia wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,kuupokea mwili wa Marehemu  huyo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE LEO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu chaMaombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwendaNjombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zakeza mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK aongoza mazishi ya Meja Jenerali Kimario

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi na mikoa ya jirani katika mazishi ya Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Muhidin Mfaume Kimario...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani