Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


heshima za mwisho kwa marehemu Meja Jenerali Kelvin Gabriel Msemwa

Hafla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Jeshi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Marehemu Meja Jenerali Kelvin Msemwa iliyofanyika uwanja wa makao makuu ya Jeshi, Upanga, Dar es salaam, April 6, 2014. Marehemu alifariki dunia April 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo. Mwili wake unasafirishwa kuelekea Songea kwa mazishi Jumatatu April 7, 2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Rais Kikwete amuaga Meja Jenerali Kelvin Msemwa

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na Maendeleo ya Jeshi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Kevin Gerald Msemwa wakati wa hafla ya kuaga mwili wake iliyofanyika katika uwanja wa makao makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Upanga jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Ikulu).MWILI wa aliyekuwa Meja Jenerali Kelvin Msemwa (59) umeagwa jana Dar es Salaam kwa taratibu za kijeshi ambapo Rais Jakaya Kikwete aliongoza waombolezaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meja Jenerali Msemwa kuzikwa leo

MWILI  wa aliyekuwa  Meja Jenerali  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kevin Msemwa, umewasili  mjini Songea na  kupokewa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atoa heshima za Mwisho kwa Brigedia Jenerali Hashim Mbita

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika (OAU) marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Rais Kikwete akiifariji familia ya Marehemu muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho(picha na Freddy Maro).

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa ya Kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Muhidini Mfaume Kimario

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokea mwili wa Marehemu Meja Jenerali Muhidini Mfaume Kimario (Mstaafu) kutoka nchini India leo tarehe  09 Oktoba, 2014 katika uwanja wa Kimataifa wa Mwl JK Nyerere Dar es salaam,mwili wa marehemu umewasili kwa Shirika la ndege la Ethiopia saa 7:30 mchana.  
Mwili wa marehemu utaagwa kesho tarehe 10 Oktoba, 2014 saa 4:00 asubuhi katika viwanja vya hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na baadaye mwili utasafirishwa kwenda kwao Moshi, Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI (MSTAAFU) ROLAND MAKUNDA




JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo   : “N G O M E”          Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM  22150463      Sanduku la Posta 9203,Telex                     : 41051                       DAR ES SALAAM, 20, October, 2014Tele Fax                : 2153426Barua pepe       : ulinzimagazine@yahoo.co.ukTovuti                  : www.tpdf.mil.tz                  Taarifa kwa Vyombo vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es Salaam jana Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa  kufanyika leo Jumapili Novemba 2, 2014 .…
...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE LEO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu chaMaombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwendaNjombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zakeza mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ...

 

11 years ago

Michuzi

MAPOKEZI YA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI BAKARI SHAABANI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ABEID AMANI KARUME,ZANZIBAR

Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,wakati wa uhai wake. Maafisa wa vikosi mbali mbali vya Ulinzi vya Zanzibar wakiusubiri mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan ukitokea katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam baada ya kufariki jana. Wanajeshi wa JWTZ hapa Zanzibar wakiuteremsha mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,kutoka katika Ndege ya jeshi hilo iliyotua leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani