Taarifa ya Kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Muhidini Mfaume Kimario

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokea mwili wa Marehemu Meja Jenerali Muhidini Mfaume Kimario (Mstaafu) kutoka nchini India leo tarehe 09 Oktoba, 2014 katika uwanja wa Kimataifa wa Mwl JK Nyerere Dar es salaam,mwili wa marehemu umewasili kwa Shirika la ndege la Ethiopia saa 7:30 mchana.
Mwili wa marehemu utaagwa kesho tarehe 10 Oktoba, 2014 saa 4:00 asubuhi katika viwanja vya hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na baadaye mwili utasafirishwa kwenda kwao Moshi, Mkoa wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
TAARIFA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI (MSTAAFU) ROLAND MAKUNDA

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 20, October, 2014Tele Fax : 2153426Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.ukTovuti : www.tpdf.mil.tz Taarifa kwa Vyombo vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda...
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MEJA JENERALI MSTAAFU MUHIDDIN MFAUME KIMARIO MJINI MOSHI


11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE
11 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE LEO


11 years ago
Michuzi
MWILI WA WAZIRI WA ZAMANI MEJA JENERALI KIMARIO UMEWASILI TAYARI KWA MAZISHI

Mwili wa aliyekuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya awamu ya kwanza na pili Meja Jenerali (mstaafu) Muhiddin Mfaume Kimario umewasili leo mchana kwa ndege ya shirika la Ethiopia kutoka nchini India alikokuwa akipata matibabu tayari kwa mazishi siku ya Jumamosi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Mwili wa Meja Jenerali Kimario uliwasili jana saa saba mchana kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JKNIA) na ...
11 years ago
Michuzi
MAPOKEZI YA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI BAKARI SHAABANI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ABEID AMANI KARUME,ZANZIBAR

11 years ago
Tanzania Daima13 Oct
JK aongoza mazishi ya Meja Jenerali Kimario
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi na mikoa ya jirani katika mazishi ya Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Muhidin Mfaume Kimario...
11 years ago
Tanzania Daima07 Oct
JK aombeleza kifo cha Meja Jenerali Kimario
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi kutokana na kifo cha Meja Jenerali Muhidin Kimario kilichotokea jana nchini India...
11 years ago
Mwananchi08 Oct
Buriani Meja Jenerali Kimario: Mpiganaji, mtumishi na waziri