MH. PINDA AONGOZA HARAMBEE YA MKAPA FELLOWS JIJINI MWANZA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyiak kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23,2014. Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3 zilichangwa.
Rais...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog25 Aug
Pinda aongoza harambee ya Mkapa Fellows
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyiak kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23,2014. Zaidi ya...
10 years ago
Michuzi23 Aug
MH. PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA NA MAMA ANNA MKAPA JIJINI MWANZA
![PG4A2748](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/DPF5wRQ8hZJkbNwgo5RV5x162SMVaIqQH6iZ3iwcSyhi2cTfwhAO9RSjy0G2_FKQXVjU8PQYNTyHxtpr1Kn7_dlx0O_01m2Kj8mFqLfeqKz_idL8zmsojQU6AQw=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/PG4A2748.jpg)
![PG4A2753](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/3Ay8koHw5HAN2Sh7mZyZQharKSrMHWV-GAP-oeX7mx2F2eCduWxyIjQjAJvE5ZS_1KosnqVMP8nsUcFqxcbEaQyogesPAfsWW9h3cvDKaqWB-PmPjZqRuAeRJZI=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/PG4A2753.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QIsUW-4gE7I/VIPpNZJIIDI/AAAAAAAG1tk/_B7Tn2oT4bw/s72-c/unnamed%2B(82).jpg)
Pinda aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani
![](http://3.bp.blogspot.com/-QIsUW-4gE7I/VIPpNZJIIDI/AAAAAAAG1tk/_B7Tn2oT4bw/s1600/unnamed%2B(82).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cfETGQ9HyNA/VUOikwRS8iI/AAAAAAAHUfM/D3M_pjACk94/s72-c/20150501085441.jpg)
Rais Kikwete aongoza Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-cfETGQ9HyNA/VUOikwRS8iI/AAAAAAAHUfM/D3M_pjACk94/s1600/20150501085441.jpg)
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Pinda afanya ziara fupi jijini Mwanza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa mbele ya kaburi la Vedasto Kitwanga,mtoto wa Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga (Wanne kulia) wakati alipokwenda nyumbani kwa Naibu Waziri huyo eneo la Usagara Mwanza August 23, 2014 kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae . Wengine pichani ni mke wa Naibu Waziri huyo, Matrida (wanne kushoto) na kushoto kwa Waziri Mkuu ni binti yao, Agness Misoji Kitwanga . Kulia ni Katibu wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga na Watatu kulia ni Mkuu wa...
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
PINDA afungua mashindano ya UMISETA jijini Mwanza
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kanda ya ziwa baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira wakati alipofungua mashindano ya UMISETA...
10 years ago
MichuziMH. PINDA AFUNGUA MASHINDANO YA UMISETA, JIJINI MWANZA LEO
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jNXOK5856h8/U-TVr-pnDCI/AAAAAAAF96k/egiG2tm5l9g/s72-c/unnamed+(73).jpg)
MH. PINDA AFUNGA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-jNXOK5856h8/U-TVr-pnDCI/AAAAAAAF96k/egiG2tm5l9g/s1600/unnamed+(73).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-691VFTxJ90U/U-TVtDO-coI/AAAAAAAF96s/JX6dIPjzVts/s1600/unnamed+(74).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Gm1tFkGZPgs/VAneM-dVP5I/AAAAAAAGfGE/AruXRioL8zY/s72-c/unnamed.jpg)
MH. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MIFUGO JIJINI MWANZA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-Gm1tFkGZPgs/VAneM-dVP5I/AAAAAAAGfGE/AruXRioL8zY/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/--ZA5rmoZUvM/VAneM5-Wp2I/AAAAAAAGfGI/QpRtr2B40g4/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana (kushoto) baada ya kufungua mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo kwenye ukumbi wa hoteli ya Malaika jijini Mwanza, Septemba 5, 2014. Kulia ni mfugaji na Mkulima kutoka Kiteto. Papian Emmanuel.
![](http://4.bp.blogspot.com/-jn14TPJFoNk/VAneMxhZkCI/AAAAAAAGfGQ/Ha2ETP6v9Mw/s1600/unnamed%2B(2).jpg)