Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda afanya ziara fupi jijini Mwanza

PG4A2820

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa mbele ya kaburi la Vedasto Kitwanga,mtoto wa Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga (Wanne kulia)  wakati alipokwenda nyumbani kwa Naibu Waziri huyo  eneo la Usagara Mwanza August 23, 2014 kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae . Wengine pichani ni mke wa Naibu Waziri huyo, Matrida   (wanne kushoto) na  kushoto kwa Waziri Mkuu ni binti yao, Agness Misoji Kitwanga  . Kulia ni  Katibu wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga  na Watatu kulia ni Mkuu wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AFANYA ZIARA POLLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni...

 

11 years ago

Michuzi

Dk.MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BARABARA ZA USAGARA - KISESA NA MAKUTANO - NATTA MKOANI MWANZA NA MARA

Leo Jumapili Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (MB) amefanya ziara ya kushtukiza kukagua miradi ya maendeleo ujenzi wa barabara za Usagara - Kisesa yenye urefu wa kilomita 16 iliyopo mkoa wa Mwanza na barabara ya Makutano - Natta illiyopo mkoa wa Mara.Ukaguzi barabara ya Makutano - Natta (Mkoani Mara) Ukaguzi daraja la Kyarano (Wilayani Butiama)Ujenzi Daraja la Kyarano akiwa na Mh.MkonoUkaguzi daraja la Nyashishi barabara ya Usagara - Kisesa, mkoani Mwanza

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAHENGE AFANYA ZIARA JIJINI DAR LEO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Injiania Binilith Mahenge awapa miezi sita kiwanda cha East coast oil and edible kinachozalisha vipodozi na mafuta ya kupikia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam kusimamisha uzalishaji wake unaoendeshwa kwa kutumia nishati ya magogo .
Akiwa katika mwendelezo wa ziara zake za ukaguzi mazingira Mh. Mahenge alimtaka Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda hicho Bwana Vijay Raghavan kutumia nishati mbadala kama gesi katika uendeshaji wa mitambo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Mazingira afanya ziara ya kukagua viwanda mbalimbali jijini Dar leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dkt. Eng. Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto,) akiwa pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais Magdalena Mtenga,(mwenye nguo nyekundu) na Dr. Robert Ntakamalenga, Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji-NEMC katika ziara ya kukagua viwanda jijini Dar Es Salaama leo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dkt. Eng. Binilith Satano Mahenge, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Bin Fijaa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh.Ummy Mwalimu akimjulia hali mmoja wa watoto waliolazwa kwenye wadi ya Watoto, Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza ili kujionea hali ilivyo Hospitalini hapo.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh.Ummy Mwalimu akimsalimia mmoja wa mama aliyelazwa kwenye wodi ya kina mama wajawazito, Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

PINDA afungua mashindano ya UMISETA jijini Mwanza

IMGL8638
IMGL8569

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGL8588

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kanda ya ziwa baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

IMGL8638

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira wakati alipofungua mashindano ya UMISETA...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI AANZA ZIARA JIJINI MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akitoa maelezo ya hali ya migogoro ya Ardhi iliyopo Mkoani Mwanza kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Willian Vangimembe Lukuvi alipokutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa katika ziara yake Mkoani Mwanza.Picha na Muungano Saguya- MwanzaWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Willian Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mh. Jaji Mfawidhi Makalamba alipokutana naye ofisini kwa Jaji huyo Jijini Mwanza ili...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MASHINDANO YA UMISETA, JIJINI MWANZA LEO

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kanda ya ziwa baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira wakati alipofungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AONGOZA HARAMBEE YA MKAPA FELLOWS JIJINI MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyiak kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23,2014. Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3 zilichangwa. Rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani