WAZIRI WA ARDHI AANZA ZIARA JIJINI MWANZA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akitoa maelezo ya hali ya migogoro ya Ardhi iliyopo Mkoani Mwanza kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Willian Vangimembe Lukuvi alipokutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa katika ziara yake Mkoani Mwanza.Picha na Muungano Saguya- MwanzaWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Willian Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mh. Jaji Mfawidhi Makalamba alipokutana naye ofisini kwa Jaji huyo Jijini Mwanza ili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAZIRI LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI MTWARA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA ARDHI ,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WILLIAM LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI ARUSHA
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Ziara ya Waziri Lukuvi Mwanza kutatua migogoro ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mh. Jaji Mfawidhi Makalamba alipokutana naye ofisini kwa Jaji huyo Jijini Mwanza ili kupata namna bora ambayo mhimili wa mahakama unaweza kusaidia kutatua migogoro ya ardhi nchini. Waziri Lukuvi yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Mwanza yenye nia ya kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi.
Mh. Waziri William Lukuvi akizungumza na watendaji wa ardhi na Mipango Miji pamoja na Kamati ya...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
...
10 years ago
GPLKINANA ATUA MWANZA, AANZA ZIARA KWA KISHINDO
10 years ago
MichuziWAZIRI NYALANDU AANZA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA AANZA ZIARA YA KAMPENI MKOANI MWANZA, AHUTUBIA MAJIMBO MANNE
Baadhi ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) mkoani Mwanza.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA MKOANI MWANZA,AMALIZANA NA KAGERA NA GEITA
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10