Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA ATUA MWANZA, AANZA ZIARA KWA KISHINDO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Nyehunge akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Buchosa, wilayani Sengerema, mkoani Mwanza jana, Juni 21, 2015.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kinana aanza ziara mkoa wa Mwanza, akutana uso kwa uso na mgombea Urais Ngeleja

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwafuraha na Mbunge wa Jimbo la  Sengerema, ambaye pia ni mmoja wa wana CCM waliochukua fomu ya kuomba kuwania urais ndani ya chama hicho, William Ngeleja alipowasili katika Kata ya Nyamadoke, Jimbo la Buchosa,, wilayani Sengerema, kuanza ziara rasmi katika majimbo yote ya Mkoa wa Mwanza leo.

Komredi Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, ameanza ziara mkoani Mwanza, baada ya kumaliza ziara...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA MKOANI MWANZA,AMALIZANA NA KAGERA NA GEITA

   Katibu Mkuu wa CCM ndugu Kinana (kulia) akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya  katika Kata ya Nyehunge Kijiji cha Isaka, Jimbo la Buchosa, wilayani Sengerema, Mwanza leo.  Katibu Mkuu wa CCM ndugu Kinana  akitoka akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya  katika Kata ya Nyehunge Kijiji cha Isaka, Jimbo la Buchosa, wilayaniSengerema, Mwanza leo.   Kinana akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mradi wa maji  katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyehunge, Jimbo la Buchosa.  Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

DIAMOND PLATINUMZ ATUA JIJINI MWANZA KWA KISHINDO LEO

 Umati ulioijitokeza kumpokea Diamond Platinumz jijini Mwanza leo alipowasili na kundi lake la Wasafi tayari kusindikiza kwa burudani uzinduzi wa Radio Jembe FM jijini humo  Diamond aliwa na meneja wake Babu Tale (chini kushoto) baada ya kutua Mwanza Mashabiki wakimlaki Diamond Jiji la Mwanza lilisimama kwa muda. Picha zote kwa hisani ya G. Sengo

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AANZA ZIARA NDANI YA JIMBO LA MISUNGWI AKITOKEA SENGEREMA MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Msafara wake wakiingia kwenye kivuko cha Mv Misungwi katika feri ya Busisi mara baada ya kumaliza ziara yake wilaya ya Sengerema mapema leo asubuhi kuelekea wilaya ya Misungwi tayari kwa kuendelea na ziara yake ndani ya jiji la Mwanza Mbunge wa Jimbo la Sengerema,Mh.William Ngeleja (wa pili kulia) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana wakitazama kivuko cha Mv Sengerema iliyokuwa ikielekea katika feri ya Kigongo walipokuwa ndani ya Mv...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Ommy Dimpoz aanza ziara yake ya kufunga mwaka Kenya kwa kishindo

ommy-1

Ommy Dimpoz yuko nchini Kenya ambako weekend iliyopita ameanza ziara yake ya kufunga mwaka nchini humo, kwa kufanya show ya kwanza ambayo imekuwa ‘soldout’.

ommy-1

Omary Nyembo aka Mr PKP alitumbuiza siku ya Jumamosi (Nov 28) kwenye county ya Turkana karibu na mpaka wa Sudan, ambako anasema wasanii ambao hupata nafasi ya kuitwa kutumbiza huko ni wale ambao wamehit sana.

Kwenye Ziara hiyo Dimpoz anatarajia kufanya jumla ya show 7.

ommy-6

Hizi ni picha za show ya Turkana

ommy-5

ommy-2

ommy-3

ommy-4

Jiunge na Bongo5.com...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ahitimisha ziara kwa kishindo Iringa

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia huku mkono wake ukiwa umefungwa POP, katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa jana kuhitimisha ziara  ya siku sita mkoani Iringa ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

02

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano na wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa leo  wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ahitimisha ziara kwa kishindo Lindi

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Lindi jana, kuhitimisha ziara ya siku 8 katika Mkoa wa Lindi ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Lindi, ambapo...

 

10 years ago

GPL

KINANA AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO IRINGA‏

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihuubia huku mkono wake ukiwa umefungwa POP, katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa jana wa kuhitimisha ziara  ya siku sita mkoani Iringa kuimarisha uhai wa chama, kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.…
...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA WILAYA YA NYAMAGANA KWA JOGGING


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wameongoza makundi ya vijana kutoka Shirikisho la Vyuo Vikuu pamoja na Machinga wa mjini Mwanza kukimbia mchakamchaka (jogging) kwa umabali wa kilomita 8,kuanzia Barabara ya Stesheni,kupitia barabara ya Posta,Kenyatta, Karuta,Lumumba maeneo ya Soko Kuu mpaka Stendi ya zamani Tanganyika.
Viongozi mbali mbali walishiriki mchakamchaka huo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo,Mbunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani