WAZIRI MAHENGE AFANYA ZIARA JIJINI DAR LEO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Injiania Binilith Mahenge awapa miezi sita kiwanda cha East coast oil and edible kinachozalisha vipodozi na mafuta ya kupikia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam kusimamisha uzalishaji wake unaoendeshwa kwa kutumia nishati ya magogo .
Akiwa katika mwendelezo wa ziara zake za ukaguzi mazingira Mh. Mahenge alimtaka Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda hicho Bwana Vijay Raghavan kutumia nishati mbadala kama gesi katika uendeshaji wa mitambo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAZIRI WA AFYA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO
10 years ago
MichuziWaziri wa Mazingira afanya ziara ya kukagua viwanda mbalimbali jijini Dar leo
10 years ago
MichuziWaziri wa Fedha afanya ziara kwenye bandari kavu ya kampuni ya THR jijini Dar leo
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WATOTO NA WAZEE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR LEO.
9 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MITAMBO YA GESI YA TEGETA JIJINI DAR.
Na kukagua mitambo hiyo leo na kubaini kuwa umeme uniti moja inatengenezwa kwa gharama ya shilingi 90 na kuuzwa kwa wananchi kwa shilingi 180 ikiwa ni kiwango kikubwa kwa...
11 years ago
MichuziWAZIRI MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA NYUMBA ZINAZOJENGWA KWA AJILI YA WATUMISHI WA UMMA ENEO LA BUNJU B JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MITARO NA MAENEO YALIYOATHILIWA NA KIPINDUPINDU JIJINI DAR
10 years ago
MichuziMH. MAHENGE AFANYA ZIARA KATIKA MGODI WA NORTH MARA
10 years ago
MichuziBaadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio - Waziri Mahenge
Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio, hali ambayo huatarisha afya za wakazi wanaozunguka maeneo hayo ikiwemo pamoja na wafanyakazi machinjioni humo.
Hayo yalibainika wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu ya Rais - Mazingira, Mh. Binilith Mahenge alipofanya ziara ya ukaguzi mazingira katika baadhi ya machinjio hayo jijini humo leo.
Katika ziara hiyo, Mh. Mahenge alitembelea machinjio ya Ukonga na...