Wasafisha barabara kumlaki Lowassa
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa jana alipokelewa na umati wa wananchi wa mji wa Musoma mkoani Mara, huku baadhi yao wakifagia barabara na kupiga deki ili apite bila vumbi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Lowassa aionya NEC, Magufuli atambia barabara
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesifu kazi ya ujenzi wa barabara katika miaka 10 iliyopita, huku mgombea wa Chadema, Edward Lowassa akiituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa imempotosha Rais Jakaya Kikwete.
9 years ago
Michuzi
Taasisi ya Mkapa wasafisha Zahanati ya Kawe
Katika kuitikia wito wa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wa kusherekea siku ya Uhuru wa miaka 54 ya Tanzania, Taasisi ya Benjamin William Mkapa (The Benjamin William Mkapa Foundation- BMF) imeshiriki kikamilifu katika shughuli za usafi zilizofanyika siku ya maadhimisho ya Uhuru tarehe 9 desemba mwaka huu wa 2015 kwa kufanya usafi katika Zahanati ya Kawe iliyopo Manispaa ya Kinondoni, Dar Es Salaam.
Zoezi hili la usafi lilishirikisha wafanyakazi...
Zoezi hili la usafi lilishirikisha wafanyakazi...
11 years ago
GPL11 years ago
GPLPOLISI WASAFISHA GEREJI BUBU BAMAGA, MWENGE
Gari aina ya Toyota Hilux yenye namba T 510 ADT ikitolewa na break-down.
Eneo la gereji bubu likiwa jeupe baada ya magari kadhaa kuondolewa.
Baadhi ya mafundi gereji bubu wakitahamaki.…
10 years ago
GPLWAFANYAKAZI RELI WASAFISHA ENEO LA STESHENI JIJINI DAR
Mwenyekiti wa Bodi ya TRL, Severin Kaombwe (kulia),  akihojiwa na wanahabari katika stesheni ya Posta jijini Dar es Salaam. Kushoto ni  Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la reli Eng. Elias A. Mshana. Wafanyakazi wa TRL wakijiandaa kuchukua vifaa vya kufanyia usafi eneo la stesheni.…
10 years ago
Mwananchi08 Aug
Wamiminika Ofisi za Chadema ‘kumlaki’ Dk Slaa
Baadhi ya wanachama na mashabiki wa Chadema jana walifika katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam kumsubiri Katibu Mkuu, Dk Willbrod Slaa baada ya kuenea uvumi kuwa angeingia ofisini.
10 years ago
Vijimambo
MAMA SAMIA SULUHU AWASILI KIGOMA, WANANCHI WASIMAMISHA SHUGHULI KUMLAKI




10 years ago
Michuzi
WANANCHI WA MASASI WAMKUBALI MAGUFULI,WAJITOKEZA KWA WINGI BARABARANI KUMLAKI


10 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania