Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI RELI WASAFISHA ENEO LA STESHENI JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Bodi ya TRL, Severin Kaombwe (kulia),  akihojiwa na wanahabari katika stesheni ya Posta jijini Dar es Salaam.  Kushoto ni  Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la reli Eng. Elias A. Mshana. Wafanyakazi wa TRL wakijiandaa kuchukua vifaa vya kufanyia usafi eneo la stesheni.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Abiria wa Treni ya Reli ya Kati wakwama katika Stesheni ya Uvinza,Kigoma leo

 Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi sasa kutoka Mkoani Kigoma,inaeleza kuwa Abiria waliokuwa wakisafiri kwa Treni ya Reli ya Kati kutokea jijini Dar es salaam kuelekea Kigoma wamekwama wa katika Stesheni ya Uvinza mara baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye Treni ya mizingo iliyokuwa ikitokea mkoani Kigoma kuelekea Dar es salaam.
Ripota wa Globu ya Jamii ambaye ni mmoja wa abiria hao,amezungumza na stesheni masta wa wa Uvinza na kumueleza kuwa ameshatuma wataalam kwenda eneo la tukio...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA EXIM SHINYANGA WASAFISHA SOKO KUU

 Wafanyakazi wa Benki ya…

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dar

DSC_0566

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0576

Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, wakikimbia katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa,jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0577

Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi wakitoa...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UCHUKUZI WASHEREHEA VEMA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KITAIFA JIJINI DAR

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

 

11 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa mambo ja nje wa Japan atembelea shirika la reli jijini Dar es salaam

 Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Bw. Norio Mitsuya, mara baada ya kuwasili katika stesheni ya  Shirika la Reli Tanzania(TRL) kuangalia namna usafiri wa Treni ya Dar es Salaam Unavyofanya kazi, leo mchana

 Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Charles Tizeba, akimuonyesha mchoro wa njia ya treni ya Bara na ile ya inayofanya Safari zake kutoka stesheni mpaka Ubungo Maziwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio...

 

11 years ago

GPL

AJALI ENEO LA LUGALO JIJINI DAR

Lori la mchanga likiwa limeangukia gari dogo eneo la Lugalo, Makongo jijini Dar mapema leo. Dereva wa gari dogo aina ya Toyota Cresta 'GX 100' akiwa amenasa katika gari lake baada ya kuangukiwa na lori. AJALI hii imetokea leo asubuhi baada ya magari kusimamishwa ghafla eneo la Lugalo, Makongo ili kuruhusu wanafunzi wavuke ndipo lori liliposhindwa kusimama na kuparamia kingo za barabarani kisha kuiangukia gari… ...

 

11 years ago

GPL

AJALI ENEO LA AFRIKANA JIJINI DAR

Gari aina ya Nissan Hard Body lenye namba za usajili T524 ALW likiwa mtaroni baada ya ajali. Lori lililogonga gari ndogo likiwa mtaroni pia huku mvua ikinyesha. Lori…

 

10 years ago

GPL

AJALI ENEO LA KIBADA, KIGAMBONI JIJINI DAR

Magari mawili madogo yakiwa yamegongana eneo la Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam jana. Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani