Taasisi ya Benjamin William Mkapa yasikitishwa na udanganyifu au utapeli unaoendeshwa na baadhi ya watu wasiojulikana kupitia jina lake
Taasisi ya Benjamin William Mkapa inasikitika kuwatangazia Umma kwamba kumekuwa na udanganyifu au utapeli unaoendeshwa na baadhi ya watu wasiojulikana wakitumia jina la Taasisi hii katika kutoza fedha watu mbalimbali wakidai kusaidia kupata ajira au ufadhili wa masomo katika sekta ya afya.
Baadhi ya wadanganyifu hao wamekuwa wakitumia barua au akaunti yenye jina “Benjamini Mkapa” katika mtandao wa kijamii wa ‘facebook’ ambapo huwasiliana na watu, na kuwahadaa kuwa watawapatia ajira au...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Aug
Taasisi Benjamin Mkapa yakusanya bil. 1/-
TAASISI ya Benjamini Mkapa HIV/AIDS Foundation (BMAF) imekusanya zaidi ya Sh bilioni 1.3 ikiwa ni fedha taslimu pamoja na ahadi katika harambee iliyofanyika jijini hapa kwa ajili ya mradi wa kuimarisha huduma za afya.
5 years ago
MichuziTAASISI YA BENJAMIN MKAPA YAMWAGA AJIRA 307 ZA WATUMISHI WA AFYA.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo wakati wa kikao na Waandishi wa habari, kilichofanyika Jinjini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na Waandishi wa habari.
Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Benjamin Mkapa Dkt. Ellen Mkondya akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari, katika Mkutano ulioongozwa na Waziri wa Afya leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...
5 years ago
MichuziSERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YASIKITISHWA NA BAADHI YA WATENDAJI WA TAASISI YA ARDHI KUTOKUWA WAAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAO
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa masikitiko hayo wakati akijibu Hoja za Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kufuatia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake aliyoiwasilisha katika Kikao cha Bajeti cha...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. STEPHEN MASELE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA
10 years ago
Michuzi17 Jun
RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA
10 years ago
Bongo Movies09 Jan
Hapa na Pale:Wolper Amshukia “Bidada” Anaetumia Jina Lake Picha na Sauti Yake Kutapeli Watu
Dunia ya Utandawazi, watu wanavipaji jamani!!!!. Wolper amempasha huyu kama ifuatavyo;
“why why why unanichafulia jina we shuwainiiii mpumbavu mmoja maana kama unajua paka napokaa inamaana utakua ata insta uona kila kitu Mungu niokoe nilichokipanga kisifanikiwe nikakukamata mikononi mwangu nitafungwa kifungo cha maisha.. Alafu unaweka na picha yangu whatsup na sauti unageza yani sauti yangu kabisa muawaji mkubwa wewe fisi ,mende,peremende.Mungu akulaani wewe na kizazi chako tena kizazi...
5 years ago
CCM BlogSMZ YASIKITISHWA NA BAADHI YA WATENDAJI ARDHI KWA KUKOSA UAMINIFU
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inasikitishwa na tabia ya baadhi ya Watendaji wa Taasisi zinazosimamia masuala ya Ardhi Nchini kuendelea kutokuwa waaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao kitendo ambacho huongeza migogoro ndani ya Jamii Nchini.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa masikitiko hayo wakati akijibu Hoja za Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kufuatia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake aliyoiwasilisha katika Kikao cha Bajeti cha...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo