ENEO LA BAMAGA MWENGE DAR LEO MCHANA
Taswila ya muonekano wa eneo la Bamaga baada ya mvua kunyesha. Watembea kwa miguu wakionekana kupita kwa taabu. .. Maji yakionekana kupungua katikati ya…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLREAL MADRID WATINGA TSN BAMAGA, MWENGE DAR
Wachezaji wa wakongwe wa Real Madrid wakiwa wanatoka kwenye ofisi za TSN, Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam, muda mfupi uliopita. Wachezaji wakongwe wa Real Madrid ya Hispania wakiweka pozi kwa ajili ya picha baada ya…
10 years ago
GPLMVUA YAFURIKISHA MITARO MAENEO YA BAMAGA-MWENGE, DAR
Maji yakiwa yamejaa katika uelekeo wa kituo cha Sayansi kutokea Bamaga-Mwenge. Basi likipita kwenye maji yaliyofurika. Mkazi wa jiji akikatiza kwenye barabara iliyojaa maji eneo hilo.…
10 years ago
GPLAJALI YATOKEA ENEO LA BAMAGA, DAR
Gari aina ya Nissan Navara lenye namba za usajili T 900 CEH likiwa eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar baada ya kugongana na daladala aina ya Coaster lenye namba za usajili T 869 AZU linalofanya safari zake kati ya Mwenge - Kariakoo jioni hii. Daladala aina ya Coaster lenye namba za usajili T 869 AZU…
10 years ago
GPLCHEMBA ILIYOZIBA YAMWAGA MAJI BARABARANI BAMAGA-MWENGE DAR
Chemba husika ikimwaga maji nje wakati wa mvua. Maji yakitiririka sehemu za barabarani. WAKAZI wa maeneo ya Bamaga-Mwenge, jijini Dar es Salaam, wamelalamika chemba moja iliyo karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii ambayo imeziba na wakati wa mvua hutiririsha maji taka ambayo huenea katika maeneo ya barabara za Shekilango na Bagamoyo na hivyo kuleta adha na hatari kwa binadamu. Wakazi hao wamezitaka mamlaka… ...
10 years ago
GPLMADHARA YA MVUA KATIKA ENEO LA BAMAGA JIJINI DAR
Magari yakipita kwa tabu kwenye Barabara ya Shekilango eneo la Bamaga jijini Dar jana jioni. Hali ilivyokuwa katika eneo la mataa ya Bamaga, Mwenge. Maji…
11 years ago
MichuziAJALI ENEO LA AFRIKANA, MBEZI BEACH MCHANA WA LEO
Gari aina ya Nissan Hard Body yenye Namba za Usajili T 524 ALW likiwa limetupwa mtaroni na trela la lori (halipo pichani) ambalo lililigonga gari hilo na kutumbukia mtaroni eneo la Afrikana Mbezi Beach Mchana wa leo. Katika Ajali hiyo iliyohusisha Lori na gari aina ya Nissan Hard Body hakuna mtu yoyote aliyepoteza Maisha Wananchi wakisaidia Kulifunga minyororo gari aina ya Nissan Hard Body ambayo imetumbukia mtaroni mara baada ya Kugongwa na trela la lori (halipo pichani) mchana wa...
11 years ago
GPLPOLISI WASAFISHA GEREJI BUBU BAMAGA, MWENGE
Gari aina ya Toyota Hilux yenye namba T 510 ADT ikitolewa na break-down.
Eneo la gereji bubu likiwa jeupe baada ya magari kadhaa kuondolewa.
Baadhi ya mafundi gereji bubu wakitahamaki.…
11 years ago
GPLHII IMETOKEA MCHANA HUU ENEO LA MANZESE DARAJANI JIJINI DAR
AJALI hii imetokea mchana huu eneo la Manzese Darajani jirani na kituo cha Polisi Manzese jijini Dar es Salaam. (PICHA NA MDAU WA GPL,…
11 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZZ....: WATU ZAIDI YA 10 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA MAKONGO,JIJINI DAR MCHANA HUU
Watu zaidi ya kumi wamepoteza maisha kwenye ajali ya Daladala inayofanya safari zake kati ya Ubungo - Tegeta jijini Dar mchana huu,baada ya kushindwa maarifa ya kiudereva kwa Dereva wa daladala hilo hali iliyompelekea dereva huyo kuhama mpaka upande wa pili wa barabara na kulivaa lori kwa nyuma.Chanzo cha ajali hiyo inaelezwa kuwa ni mwendo kasi.
Hili ndilo lori lililokuwa likipita katika upande huo wa Barabara na kufatwa na daladala hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania