Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI ENEO LA AFRIKANA, MBEZI BEACH MCHANA WA LEO

 Gari aina ya Nissan Hard Body yenye Namba za Usajili T 524 ALW likiwa limetupwa mtaroni na trela la lori (halipo pichani) ambalo lililigonga gari hilo na kutumbukia mtaroni eneo la Afrikana Mbezi Beach Mchana wa leo. Katika Ajali hiyo iliyohusisha Lori na gari aina ya Nissan Hard Body hakuna mtu yoyote aliyepoteza Maisha Wananchi wakisaidia Kulifunga minyororo gari aina ya Nissan Hard Body ambayo imetumbukia mtaroni mara baada ya Kugongwa na trela la lori (halipo pichani) mchana wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AJALI ENEO LA AFRIKANA JIJINI DAR

Gari aina ya Nissan Hard Body lenye namba za usajili T524 ALW likiwa mtaroni baada ya ajali. Lori lililogonga gari ndogo likiwa mtaroni pia huku mvua ikinyesha. Lori…

 

10 years ago

GPL

ENEO LA BAMAGA MWENGE DAR LEO MCHANA

Taswila ya muonekano wa eneo la Bamaga baada ya mvua kunyesha. Watembea kwa miguu wakionekana kupita kwa taabu.
.. Maji yakionekana kupungua katikati ya…

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: WATU ZAIDI YA 10 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA MAKONGO,JIJINI DAR MCHANA HUU

 Watu zaidi ya kumi wamepoteza maisha kwenye ajali ya Daladala inayofanya safari zake kati ya Ubungo - Tegeta jijini Dar mchana huu,baada ya kushindwa maarifa ya kiudereva kwa Dereva wa daladala hilo hali iliyompelekea dereva huyo kuhama mpaka upande wa pili wa barabara na kulivaa lori kwa nyuma.Chanzo cha ajali hiyo inaelezwa kuwa ni mwendo kasi.  Hili ndilo lori lililokuwa likipita katika upande huo wa Barabara na kufatwa na daladala hiyo.

 

11 years ago

GPL

AJALI YATOKEA AFRIKANA MBUYUNI DARA

Umati wa watu wakishuhudia Gari la Kikosi cha Zimamoto na askari wa kikosi hicho wakijitahidi kuzima moto eneo ya tukio. Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakisaidiwa na wananchi kuinua gari dogo aina ya Allteza lililoteketea kwa moto mtaroni likiwa na watu watatu ambao inasemekana nao wameteketea.
Gari  aina ya Allteza imepata ajali hapa Africana karibu na Mbuyuni,  imewaka moto na inasemekana hakuna mtu aliyetoka kwani...

 

11 years ago

Michuzi

HOUSE FOR SALE IN MBEZI BEACH

A two (2) storey house for sale at Mbezi beach behind Art Gallery. Plot size: 1,206 square metres. It is fully fenced by concrete blocks with two entrance gates at front and rear side; there are two access roads.

House: Ground floor: 5 bedrooms (1 master), 3 bathrooms, living room, dining room, kitchen and stores. 1st floor: 3 bedrooms (1 master), 2 bathrooms.
Extras: The house can easily be converted into 2 family houses and each use its own gate on different access roads.
Can also be...

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI MBAYA YATOKEA VWAWA MBOZI LEO MCHANA YAUA DEREVA WA NSSF NA MENEJA WAKE

Ajali Mbaya iliyotokea Mbozi ;eo Ijumaa Noemba 7, 2014 na dereva na meneja wa NSSF kupoteza maisha papo hapo huku dereva wa lori akibanwa na chases kwa saa tano kabla hajaokolewaPicha kwa hisani ya www.mkwinda.blogspot.com

 

11 years ago

Michuzi

ajali mbaya eneo la Mikese, Morogoro, leo Asubuhi

 Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund
 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea  Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto...

 

11 years ago

Habarileo

Kanisa la Wapo la Mbezi Beach laibiwa

KANISA la Mbezi Beach la Wapo Mission International la jijini Dar es Salaam limevamiwa na watu wawili wasiojulikana waliovalia sare za polisi na kuiba mali mbalimbali, ikiwemo fedha na nyaraka za kanisa hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani