Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REAL MADRID WATINGA TSN BAMAGA, MWENGE DAR

Wachezaji wa wakongwe wa Real Madrid wakiwa wanatoka kwenye ofisi za TSN, Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam, muda mfupi uliopita. Wachezaji wakongwe wa Real Madrid ya Hispania wakiweka pozi kwa ajili ya picha baada ya…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

TSN YAILETA REAL MADRID TANZANIA, FIGO, VAN NISTELROOY, OWEN KUKIPIGA NA STARS

Msemaji wa TSN (T) LTD, Denis Sebo akizungumza kwenye mkutano wa makubaliano hayo. Nahodha wa kikosi cha Real Madrid kitakachokuja hapa nchini, Ruben de la Red akithibitisha ujio huo.…

 

10 years ago

GPL

ENEO LA BAMAGA MWENGE DAR LEO MCHANA

Taswila ya muonekano wa eneo la Bamaga baada ya mvua kunyesha. Watembea kwa miguu wakionekana kupita kwa taabu.
.. Maji yakionekana kupungua katikati ya…

 

10 years ago

GPL

MVUA YAFURIKISHA MITARO MAENEO YA BAMAGA-MWENGE, DAR

Maji yakiwa yamejaa katika uelekeo wa kituo cha Sayansi kutokea Bamaga-Mwenge. Basi likipita kwenye maji yaliyofurika. Mkazi wa jiji akikatiza kwenye barabara iliyojaa maji eneo hilo.…

 

10 years ago

GPL

CHEMBA ILIYOZIBA YAMWAGA MAJI BARABARANI BAMAGA-MWENGE DAR

Chemba husika ikimwaga maji nje wakati wa mvua. Maji yakitiririka sehemu za barabarani. WAKAZI wa maeneo ya Bamaga-Mwenge, jijini Dar es Salaam,  wamelalamika  chemba moja iliyo karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii ambayo imeziba na wakati wa mvua hutiririsha maji taka ambayo huenea katika maeneo ya barabara za Shekilango na Bagamoyo na hivyo kuleta adha na hatari kwa binadamu.  Wakazi hao wamezitaka mamlaka… ...

 

11 years ago

GPL

POLISI WASAFISHA GEREJI BUBU BAMAGA, MWENGE

Gari aina ya Toyota Hilux yenye namba T 510 ADT ikitolewa na break-down.
Eneo la gereji bubu likiwa jeupe baada ya magari kadhaa kuondolewa.
Baadhi ya mafundi gereji bubu wakitahamaki.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Real Madrid kutua Dar Agosti 22

WARATIBU wa ziara ya mabingwa wa kihistoria wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid ya Hispania, wametangaza rasmi siku ya ujio wa msafara wa nyota 25 na mashabiki...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WA REAL MADRID WALIVYOTUA JIJINI DAR

Baadhi ya mastaa wa zamani wa Real Madrid baada ya kutua nchini jana usiku. Mastaa hao wakiongozwa na wenyeji wao baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini…

 

11 years ago

GPL

Real Madrid yawaleta Dar Figo, Salgado

Mmoja wa wachezaji nyota duniani, Luis Figo. Na Saleh Ally
WATANZANIA watapata nafasi ya kumshuhudia mmoja wa wachezaji nyota duniani, Luis Figo akikipiga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kabla ya mwaka huu kuisha. Figo anatarajia kutua nchini mwishoni mwa mwaka huu kama makubaliano yatafikiwa kati ya Real Madrid na waandaaji wa ziara ya timu ya wakongwe ya Real Madrid kuja kucheza mechi ya kirafiki hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani