MVUA YAKIHARIBU KITUO CHA MABASI NJOMBE, KERO YAWA KUBWA KWA WATUMIAJI
![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TbnWaKqHkUKeurOYN2uIkkdJ70*i6UQtGo7qmh8dn*npcP53DGkCgHcrTWjHMrY3af5BMU0hmYiTwByAOrEwGzO/tope3.jpg?width=650)
Baada ya mvua kubwa kunyesha jana mkoani Njombe, kituo hiki cha Njombe kimegeuka matope matupu na kusababisha watumiaji kupata tabu ya kutembea kwa shida na kutafuta eneo la kukanyaga ili wapite. Hali halisi kutoka kituo cha mabasi Njombe.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-ABxss8JQZbo/UzAJOoD2rvI/AAAAAAAALt0/HB6Tgmvun3s/s1600/Photo3477.jpg)
CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA INAYOELEKEA AFRIKA SANA
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Kero za wasafiri Kituo cha Mabasi Ubungo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiKviiitYxKsXOKyvoO6xWIQn-IxMdSestBvRQU7LuJRl15xmFBVaDSj0FudrqXzqGquEynFZHWRHxlgtFosRWeE/IMG20150512WA0002.jpg)
KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO
10 years ago
GPLMVUA YAGEUKA KERO KUBWA KWA WAKAZI WA DAR
11 years ago
GPLMACHINGA AKUTWA AMEFARIKI KWENYE KITUO CHA MABASI YAENDAYO KWA KASI
10 years ago
GPLBARABARA ZA KUINGIA STENDI YA MAKUMBUSHO ZAWA KERO KWA WATUMIAJI
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Baada ya mabasi kuzuiwa kituo cha Mwenge wafanyabiashara wadogo wapanga kuandamana kupinga kuweka meza zao za biashara ndani ya kituo
Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita Mwenge Bila kusimama.
Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote.
Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi Beach kikiwa Kitupu Muda huu.
Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja.
Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge.
Eneo ambalo Daladala zilikuwa nyingi sasa hakuna tena mabasi hayo.
Bajaji zikiendelea na Kazi.
Upande wa Mwenge kwenda Morocco Pia hakuna mabasi...