JWTZ LAFAFANUA MGOGORO WA ARDHI TONDORONI WILAYANI KISARAWE
![](http://1.bp.blogspot.com/-6Tc9VxG-cNs/VMNPQqHNAqI/AAAAAAAG_SU/W5z02jxRw9Q/s72-c/JWTZ_torch_logo.png)
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa kwa wananchi na Vyombo vya Habari kuhusu mgogoro wa eneo la TONDORONI lililopo katika Wilaya ya Kisarawe kama ilivyokaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari hapa nchini.Taarifa zilizotolewa na kukaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari kwamba Wanajeshi wametumia nguvu kuwatoa wananchi eneo la TONDORONI na baadhi yao kudai kupotelewa na mali zao siyo za kweli na ni za kuwapotosha wananchi kwa sababu wananchi hao walitaarifiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi05 Apr
KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWENKEZAJI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA
9 years ago
Dewji Blog22 Sep
Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi.
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-
1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;
2.TAREHE...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Migogoro ya ardhi Kisarawe itatuliwe
WAHENGA walisema “okoa jahazi kabla halijazama”, na mimi ndivyo ninavyowataka viongozi wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wakiwamo mkuu wa mkoa, wilaya, mkurugenzi, mbunge na madiwani washikamame kutatua migogoro ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-g9DLF0XcgC4/VUDmpsAzOGI/AAAAAAAHUBw/mB4v1W6HIyQ/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
SHINDANO LA MAMA SHUJAA LAZINDULIWA WILAYANI KISARAWE
Na Mwandishi WetuMkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh.Subira Mgalu amezindua Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la Oxfam kupitia kampeni ya Grow lenye lengo la Kumuwezesha Mwanamke katika kilimo na kumkwamua kiuchumi.
Subira ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kumwezesha mwanamke katika kilimo na kumkwa mwanamke kiuchumi iliyofanyika katika kijiji cha Kisanga wilayani Kisarawe mkoani Pwani.
Subira amesema kufanyika kwa mashindano wilayani...
11 years ago
Michuzi19 Feb
MCHEZO WA NGUMI KUHAMIA WILAYANI KISARAWE APRIL 26
Bondia Mbaruku Heri (kushoto) akimkabidhi barua ya maombi ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi katika Wilaya ya Kisarawe Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba (kulia)
ambapo imepagwa April 26 kutakuwa na ngumi za wazi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huo uliopotea wilayani humo. wengine wa pili kushoto ni Masudi Bakari na Saidi Chaku.
10 years ago
VijimamboWILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI
10 years ago
GPLWILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI
5 years ago
MichuziWAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA MACHIMBO YA MADINI YA KAOLIN WILAYANI KISARAWE
10 years ago
MichuziWAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI