Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Migogoro ya ardhi Kisarawe itatuliwe

WAHENGA walisema “okoa jahazi kabla halijazama”, na mimi ndivyo ninavyowataka viongozi wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wakiwamo mkuu wa mkoa, wilaya, mkurugenzi, mbunge na madiwani washikamame kutatua migogoro ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Migogoro ya ardhi itatuliwe haraka’

Serikali imeombwa kutatua haraka mgogoro baina ya kampuni inayojihusisha na uchimbaji dhahabu ya Bismark Hotel na wakazi wa Majimoto wilayani hapa, uliodumu kwa miaka takriban 23 kabla ya kuleta madhara makubwa.

 

5 years ago

CCM Blog

OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA ZATAKIWA KUWA NA DAFTARI LA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Manyara jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexzander Mnyeti na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akioongozwa na Kamishna Msaidizi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Manyara Leonard Msafiri (kushoto) wakati wa uzinduzi wa ofisi ya ardhi ya mkoa huo jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara...

 

5 years ago

Michuzi

Migogoro ya ardhi kaa la Moto,Kufunguliwa ofisi za ardhi mikoani kuleta ahueni

Na Amiri kilagalila,Njombe Wananchi mkoani Njombe wamelalamikia kuchelewa kusikilizwa kwa Mashauri ya migogoro ya ardhi na kupelekea kuwaathiri kiuchumi wakati wakiendelea kufuatilia mashauri yanayosikilizwa na baraza ya ardhi. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wanaofika katika mabaraza ya ardhi yanayosuluhisha migogoro ya ardhi mkoani Njombe ambapo miongoni mwao akiwemo Remigius Ilomo na Geofrey Msambwa wamezungumzia kero wanayoipata na Kwamba Kumekuwa Kukiwaongezea Gharama kubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na wananchi waliojitokeza kuwasilisha kero zao katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo mkoani Iringa. Alisisitiza kuwa Mkoa wa Iringa uharakishe kupima ardhi ya wananchi ili kupunguza migogoro ya ardhi. Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkoa wa Iringa wakimsikiliza Waziri Lukuvi aliposikiliza kero zao katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo Manispaa ya Iringa.


...

 

10 years ago

Vijimambo

WILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI

 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa  uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto Ofisa Ardhi na Maliasili wa...

 

10 years ago

Michuzi

JWTZ LAFAFANUA MGOGORO WA ARDHI TONDORONI WILAYANI KISARAWE

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa kwa wananchi na Vyombo vya Habari kuhusu mgogoro wa eneo la TONDORONI lililopo katika Wilaya ya Kisarawe kama ilivyokaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari hapa nchini.Taarifa zilizotolewa na kukaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari kwamba Wanajeshi wametumia nguvu kuwatoa wananchi eneo la TONDORONI na baadhi yao kudai kupotelewa na mali zao siyo za kweli na ni za kuwapotosha wananchi kwa sababu wananchi hao walitaarifiwa...

 

10 years ago

GPL

WILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI‏

 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa  uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua Mrindoko.  Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua ...

 

11 years ago

Mwananchi

Tukomeshe haraka migogoro ya ardhi

Nimekuwa nikiandika kwa kuweka takwimu juu ya migogoro ya ardhi nchini. Niliwahi kusema kuwa kesi zilizopo mahakamani kwa sasa, zaidi ya asilimia 50 zinahusu migogoro ya ardhi.

 

11 years ago

Habarileo

‘Dawa ya migogoro ya ardhi inakuja’

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema zoezi la usajili wa ardhi linaloendelea nchini ndiyo litakaloipatia ufumbuzi migogoro ya ardhi na kuweza kuwatambua wamiliki halali pamoja na wale wavamizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani