Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngeleja mgeni rasmi tamasha la Pasaka jijini Mwanza

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka linalotarajia kufanyika Mei 4 Jijini Mwanza.Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti  wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Abihudi Mang’era kamati imejipanga  kufanya tamasha la kishindo jijini humo kwa sababu maandalizi yake ni ya hali ya juu.
Mang’era alisema tamasha hilo litakuwa ni la aina yake ambako alitoa wito kwa wakazi wa Kanda ya ziwa kujitokeza kwa wingi katika tamasha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA


Mwenyekiti  wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi, Jimmy Charles. (Picha na Francis Dande) Msama akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya tamasha hilo.Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MH. MEMBE KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA

Mwenyekiti  wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana (hawapo pichani) kuhusu maandalizi  ya tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi, Jimmy Charles. (Picha na Francis Dande)Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Jimmy Charles akifafanua jambo.

Na Mwandishi Wetu


WAZIRI wa Mambo ya Nje na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchimbi mgeni rasmi Tamasha la Pasaka Songea

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Nchimbi, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka linalotarajia kufanyika Aprili 26 mjini Songea mkoani Ruvuma. Mwenyekiti wa Kamati ya...

 

11 years ago

Michuzi

Vyombo vipya kutumika tamasha la Pasaka jijini Mwanza

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imepanga kutumia vyombo vipya vya muziki katika Tamasha la Pasaka, Mei 4 jijini Mwanza.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama hivi sasa kamati yake bado inaendelea na taratibu za kuvileta vyombo hivyo.     Msama alisema vyombo hivyo vya kisasa wameviagiza nchini China ambavyo ni vya kisasa zaidi katika tasnia ya muziki duniani.Aidha Msama alisema sababu za kuagiza vyombo hivyo vipya ni kuwasaidia wanamuziki...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAKAMILIKA, REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA

Mkurugenzi wa Msama Promotions Ltd, ambao ndio waandaji wa tamasha la Krismas na Pasaka, Bwa. Alex Msama akiongea na wanahabari katika Viwanja vya Karimjee, jijini…

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya tamasha la pasaka yakamilika,rebecca malope kutumbuiza jijini mwanza.

MKurugenzi wa Msama Promotions Ltd,ambao ndio waandaji wa tamasha la krismass na Pasaka,Bwa.Alex Msama amesema kuwa maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza kufanyika jijini Dar mnamo April,20 mwaka huu yamekamilika.


Aakizungumza na Waandishi wa habari jijini dar leo katika viwanja vya Karimjee,Msama amebainisha kuwa kila kitu kimekwishakamilika,wakiwemo wasanii mbalimbali watakaotumbuiza siku hiyo,aidha amesema kuwa pamoja na wanamuziki wa nyumbani kushiriki tamasha hilo,pia...

 

11 years ago

Michuzi

MWENDELEZO WA TAMASHA LA PASAKA;MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA APRIL 4 JIJINI MWANZA

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY  April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza kutumbuiza jijini humo.
“Tunashukuru kwamba...

 

11 years ago

Michuzi

Mary Nagu Mgeni rasmi kongamano la nne la kitaifa la makatibu muhtasi tanzania jijini mwanza leo

 Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA wakati alipokuwa akiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo jijini Mwanza.Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani