Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Nape kumwakilisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Tamasha la Krismasi

 WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Michezo na Sanaa, Nape Nnauye anatarajia kumwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi  linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti  wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama,  Makamu huyo wa rais alitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo lakini kutokana na majukumu mengine ya kikazi, hivyo tunaendelea na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA MWENZA, SAMIA SULUHU, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) AWAAGA NA KUWASHUKURU WAFANYAKAZI WENZAKE OFISI YA MAKAMU WA RAIS

 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati  wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru  wafanyakazi wenzake.  uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AMEMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MAREHEMU BALOZI AUGUSTINE MAHIGA MKOANI IRIBGA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua  kwenye Kaburi  la  aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati  wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, amkaribisha Waziri wake Makamba ofisini, akutana na kuzungumza na mabalozi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Januari Makamba, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 14, 2015 kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo. 4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira,...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO SAMIA SULUHU HASSAN ATOA WITO WA KUTUNZA MALI ASILI NA MAZINGIRA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa kutunza mali asili na mazingira kwa sababu ni urithi kwa vizazi vijavyo. Aliongea hayo alipokuwa akifungua mkutano wa Wadau unaohusiana na Azimio la Gaborone jijini Dar es Salaam. Aliongeza kuwa  idadi ya watu duniani inazidi kuongezeka hivyo basi ni jukumu la kila mmoja kuacha kukata miti hovyo, kuacha kuchoma misitu na vitu vyote vinavyosababisha uharibifu wa mazingira kwa sababu upo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu ashiriki msiba wa mjukuu Rais Dk. Magufuli!

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mjukuu wa Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, Maryfaustna Mlyambina, aliyefariki Nov 11, 2015. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu zilifanyika leo Nov 13, 2015 Kimara jijini Dar es Salaam, na baadaye msiba huo kusafirishwa kuelekea Mkoani Mwanza kwa maziko. Picha na OMR.

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU ASHIRIKI MSIBA WA MJUKUU WA RAIS MAGUFULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mjukuu wa Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, Maryfaustna Mlyambina, aliyefariki Nov 11, 2015. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu zilifanyika leo Nov 13, 2015 Kimara jijini Dar es Salaam, na baadaye msiba huo kusafirishwa kuelekea Mkoani Mwanza kwa maziko.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU NA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA NKURUNZIZA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakimjulia hali na kumfariji Mjane wa marehemu Rais  Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza  Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Kijijini Msoga

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokelewana Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete,wakati alipowasili kwenye msiba wa Dada yake na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, jana kijini Msoga Mkoa wa Pwani. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, aliyekuwa Dada yake na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kijijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani