Mwakalebela mgeni rasmi Tamasha la Krismasi Iringa
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Fredrick Mwakalebela Desemba 26 anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la Krismasi mkoani Iringa.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Mwakalebela anatarajia pia kuwaongoza waumini mbalimbali mkoani humo kwa lengo la kumtukuza Mungu kupitia waimbaji mbalimbali hapa nchini.
Msama alisema Mwakalebela atafanikisha lengo la kusaidia wenye uhitaji maalum kama Yatima, Wajane na walemavu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo22 Dec
Nape mgeni rasmi tamasha la Krismasi
WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye anatarajiwa kumwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi litakalofanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ,Dar es Salaam.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-E62kWUZPBkA/Vm3iG9cfDhI/AAAAAAADDiI/9ifa5YOHb_4/s72-c/tanzania-bishop-malasusa.jpg)
Maaskofu wafurahishwa Makamu wa Rais kukubali kuwa mgeni rasmi Tamasha la Krismasi
![](http://4.bp.blogspot.com/-E62kWUZPBkA/Vm3iG9cfDhI/AAAAAAADDiI/9ifa5YOHb_4/s320/tanzania-bishop-malasusa.jpg)
Tamasha hilo linalokwenda sambamba na Shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu, uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la KKKT, Dk Alex Malasusa anasema ni jambo jema kumshukuru Mungu...
9 years ago
Habarileo28 Sep
JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.
10 years ago
MichuziMEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lcxoNDTxEmU/U7OwtSVB8fI/AAAAAAAFuJg/yAeq-VylWJE/s72-c/unnamed+(13).jpg)
MH. PINDA MGENI RASMI JUBILEI YA ASKOFU MKUU NGALALEKUMTWA WA IRINGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-lcxoNDTxEmU/U7OwtSVB8fI/AAAAAAAFuJg/yAeq-VylWJE/s1600/unnamed+(13).jpg)
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Pinda mgeni rasmi Jubilei ya Askofu Mkuu wa Iringa Ngalalekumtwa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Baba Askofu, Tarcisius Ngalalekumtwa (katikati) na Makamu wake, Mhashamu Baba Askofu Severini Niwemugizi katika misa ya Jubilei ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu Mkuu Ngalalekumtwa iliyofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Katoliki jimbo Kuu la Iringa Julai 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Makamu wa Rais mgeni rasmi Tamasha la Amani
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kinondoni wakati alipomtangaza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu kuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Kushukuru kufuatia kufanyika kwa uchaguzi wa amani na utulivu tarehe 25 mwezi Oktoba mwaka huu nchini kote huku nchi ikiendelea kuwa na utulivu na amani ya hali ya juu. Kushoto ni Mratibu Tamasja la Kushukuru masuala ya usalama Bw. Hamisi Pembe
10 years ago
MichuziMH. MEMBE KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Nje na...
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Nehemia Mchechu mgeni rasmi tamasha la ‘mateja’
NA MWANDISHI WETU
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kwaya mbalimbali lenye lengo la kuchangia uanzishwaji wa Kituo cha kusaidia vijana walioathirika na dawa za kulevya.
Tamasha hilo lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kigogo, litafanyika Jumapili ya Oktoba 18, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Msanii kutoka Kenya, Solomoni Mukubwa, kwaya ya...