Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAY C AMSAIDIA VIDEO QUEEN WA NGOMA YA NOORAH ALIYEATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA

STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila’Ray C’amemsaidia aliyekuwa video Queen wa ngoma ya Ice Cream ya msanii wa siku nyingi wa muziki huo Noorah baada ya kuathirika na utumiaji wa madawa ya kulevya.Kupita ukurasa wa Instagram Ray C ambaye nae aliwahi kukumbwa na tatizo hilo akiweka picha yake pamoja na Doreen huku akidai kuwa amempata na amekubali kuanza matibabu kuachana na dawa za kulevya. Ray C ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram dakika chache zilizopita kuwa ”rayc1982 Mungu ni...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ray C Foundation yasaidia vijana zaidi ya 70 kuachana madawa ya kulevya

DSC_0087

Mwanadada aliyewahi kung’ara kwenye tasnia ya muziki nchini na Afrika Mashariki, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akihojiwa na wandishi wa habari wakati wa kilele cha siku ya Kimataifa kupinga matumizi ya dawa za kulevya na usafirishaji, iliyofanyika Juni 26, Bagamoyo-Pwani.

Na Andrew Chale, Modewjiblog, Bagamoyo

Mwanadada aliyewahi kung’ara katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema moja ya sababu iliyomfanya kuanzisha taasisi yake ya  kupambana madawa ya kulevya ya...

 

10 years ago

CloudsFM

RAY C AFUNGUKA HABARI ZILIZOENEA KUWA AKATISHA DOZI YA MADAWA YA KULEVYA

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’’Ray C’’amefunguka habari zilizoenea kuwa amekatisha dozi ya kuacha madawa ya kulevya ya Methadone anayoichukua katika hospitali ya Mwananyamala,jijini Dar.

 

10 years ago

Vijimambo

ALICHOKISEMA RAY C KUHUSU KUKAMATWA KWA CHIDI BENZ NA MADAWA YA KULEVYA

“Pole kaka yangu Chidi Benz,Naumia kuona tatizo uliokuwa nalo bado haujalitaftia jibu unalijua la kutatua tatizo lako,Mimi ni dada yako natumeshafanya kazi Pamoja,Tatizo ulilonalo na Mimi nilishakuwa nalo na niliweza kulitatua sababu nilijitambua na
kutafuta suluhu,nimejaribu kila njia kukushauri badala yake ukaja na rungu la kimasai na kunitandika nalo nyumbani kwangu!nadhani janga hili lililokukuta litakuwa Kama jibu kwako kwamba
unakoenda si salama kabisa kaka yangu ni bora ubadilishe njia...

 

11 years ago

Bongo5

Methadone yairejesha afya ya video queen ‘Ice Cream’ ya Noorah

Video queen wa video ya ‘Ice Cream’ ya Noorah ‘Doreen’ aliyeathirika na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya, anadaiwa kuanza kurejea kwenye afya yake ya kawaida baada ya kupata tiba ya Methadone akiwa chini ya uangalizi wa Ray C Foundation. Doreen akionekana mwenye afya Kupitia Instagram, Ray C ameandika: “Video queen aliyecheza kwenye video ya […]

 

11 years ago

CloudsFM

RAY C AENDELEA NA HARAKATI ZAKE,ATOA ELIMU JUU YA ATHARI ZA MADAWA YA KULEVYA KWA WANAFUNZI WA MAKONGO

STAA wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’Ray C’ameendelea na harakati zake za kutoa elimu juu ya athari za madawa ya kulevya kwenye jamii. Hivi karibuni msanii huyo kupitia Ray C Faundatiaon alitembelea shule ya sekondari ya Makongo na kutoa elimu juu ya athari za madawa hayo kwa wanafunzi wa shule hiyo.Kupitia account yake ya Instagram aliandika hivi…Ray C Foundation ikitoa Elimu Juu ya athari za madawa ya kulevya katika shule ya secondary Makongo......na Ina mpango wa kuzunguka shule zote za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

GPL

REMEMBERING MEZ B: moja ya nyimbo zake bora; KAMA VIPI Feat Ray C & Noorah

Hii video ni moja ya nyimbo zake bora hayati Mez B R.I. P; KAMA VIPI Feat Ray C & Noorah

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani