Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo wa dawa za kulevya watoweka



Wauza mahekalu, magari wakimbilia nje Mawakala wahaha, polisi wapigwa butwaa
LChikawe: Tutawanasa wote kimya kimya
NA MWANDISH WETU
SIKU chache baada ya kunaswa kwa watuhumiwa wanaotajwa kuwa ni vinara wa kusafirisha na kuingiza dawa za kulevya nchini, hali imeanza kuwa tete kwa vigogo wengine wa biashara hiyo.
Baadhi ya vigogo wakiwemo wafanyabiashara wakubwa nchini, wameanza kukimbia nje ya nchi kukwepa mkono wa sheria, huku wengine wakisubiri hali itulie ndipo wajitokeze.
Hatua hiyo inatokana...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MIHADARATI: Vigogo 12 wa dawa za kulevya wakamatwa

>Vigogo 12 wanaodaiwa kusafirisha dawa za kulevya wanahojiwa katika vituo mbalimbali baada ya kutajwa kwenye orodha zilizowasilishwa serikalini na watu mbalimbali.

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya

Hakuna "uhusiano wa moja kwa moja" kati ya adhabu kali na hatua za kukomesha matumizi ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Mwananchi

Biashara ya dawa za kulevya

alum Zakwa ni mfanyabiashara mkubwa wa dawa za kulevya. Hii ni biashara inayompatia fedha nyingi sana ambazo zimemfanya awe tajiri mkubwa katika jiji la Dar  es Salaam. Biashara hii ameifanya kwa siri kubwa na ni watu wachache wanaojua siri hii mbali na vijana wake wawili Vasco na Liston. Endelea kusoma …

 

11 years ago

GPL

BATULI ATESWA NA DAWA ZA KULEVYA

Na Gabriel Ng’osha
MWANADAFADA kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa anaumia kuona listi ndefu ya Wabongo wanaosubiri kunyongwa nchi mbalimbali kwa kukutwa na dawa za kulevya. Mwanadada kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ akipozi. Batuli alisema kinachowaponza vijana wengi ni kupenda fedha za chapuchapu, matokeo yake wanaambulia kifungo cha maisha na wengine...

 

10 years ago

Habarileo

JK mgeni siku ya dawa za kulevya

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani, yatakayo fanyika kitaifa kesho, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Utengezaji wa dawa za kulevya wapungua

UN imesema kuwa kumekuwa na upungufu mkubwa katika utengenezaji na uuzaji wa dawa za kulevya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa za kulevya michezoni ni faida?

Wanariadha waliofungiwa kutokana na kutumia dawa za kusisimua misuli hunufaika na dawa hizo hata baada ya kumaliza muda wa adhabu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani