Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WAACHE UNYANYAPAA WA CORONA

Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe amepinga vikali tabia mbaya ya kunyanyapaa Watu wanaokuja toka kwenye maeneo ya wilaya na mikoa mingine  kwa kuwahisi wameambukizwa virusi vya Corona pasipo kuthibitishwa na Wataalamu wa afya.
Gavana Shilatu amewasisitiza Wananchi wa Tarafa ya Mihambwe kuzijua vyema dalili za Mtu mwenye virusi vya Corona kama vile kikohozi kibichi, homa, maumivu ya mwili, kuuma kwa koo na awe amethibitishwa na Wataalamu wa afya na sio kuanza ubaguzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ban ataka watu waache unyanyapaa

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon amezitaka nchi duniani kuacha tabia ya unyanyapaa kwa madaktari na manesi waliofanya kazi katika nchi zilizoathiriwa na ugonjwa wa Ebola.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi madereva wa malori ya kubeba mizigo wanavyokumbwa na unyanyapaa

Maderava wa malori ya kubeba mizigo wamekuwa wakilalamika jinsi wanvyotengwa na raia wengine kwa hofu ya kwamba huenda wakawaambukiza virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Unyanyapaa umedhihirika kuwa kikazwo kikubwa katika vita hii

Miongoni mwa changamoto zinazojitokeza katika kukabiliana na Covid-19 ni unyanyapaa. fahamu kinachoendelea katika maeneo mbalimbali.

 

5 years ago

Michuzi

wananchi watakiwa kuelimishana kuhusu corona.


Na Woinde Shizza,ARUSHA
Chama Cha wafanyabiashara ( TCCIA)Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Trade Mark East Africa na TRIAS kimegawa vifaa kinga vyenye thamani ya sh,mil. 4 kwenye masoko matatu katika jiji la Arusha kama njia Moja wapo ya kupambana na maambikizo ya ugonjwa hatari wa Corona na kuunga mkono jitihada za serikali dhidi ya ugonjwa huo.
Akikabidhi vifaa hivyo zikiwemo ndoo za maji ya kutiririka,vitakasa mikono na Barakao ,mwenyekiti wa TCCIA ,Wolter Maeda aliwataka...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONGOLO AWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akiwa ameambata na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bi. Stella Msofe na viongozi wengine wakata na mitaa, wakitoka kukagua bandari kavu ambayo leo hii ameizindua rasmi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wa Kata ya Mbweni aliofika kusikiliza na kutatua kero zao.
Wananchi wa Kata ya Mbweni , wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo alipofika kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero...

 

5 years ago

Michuzi

WAPENI ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA WANANCHI-DKT.CHAULA


Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu afya Dkt. Zainab Chaula akiongea na waganga wakuu wa mikoa(hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kujadili utayari wa kukabiliana na tishio la mlipuko wa virus vya corona kwenye ukumbi wa mkutano wa hospitali ya taifa muhimbili-mloganzila
Baadhi wa waganga wakuu wa mikoa na maofisa kutoka wizara ya afya walioshiriki mkutano wa kujadili tishio la ugonjwa wa Corona.
Naibu Mkuu anayeshughulikia afya kutoka Ofisi ya...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI TANDAHIMBA WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI YA UGONJWA WA CORONA

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Benaya Kapinga amewataka  wananchi kuchukua tahadhari na ugonjwa wa corona kwani Wilaya hii ipo mpakani

Akizungumza leo Wilayani hapa  Kapinga amesema kuwa wananchi  wanatakiwa kuacha kusalimiana kwa kushikana mikono ili kujikinga na Corona

Amesema kila mwananchi ahakikishe ana nawa mikono na maji tiririka  na sabuni ikiwa ni miongoni mwa hatua za awali za kujikinga

Naye Mganga Mkuu wa Wilaya Antpas Swai amesema tayari  wametenga Zahanati ya mtegu kwa ajili ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Albino walaani unyanyapaa

CHAMA cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino-TAS), Mkoa wa Mwanza, kimelaani unyanyapaa wanaofanyiwa na kuiomba serikali kuwapatia huduma bora za kiafya na elimu. Wameomba pia kusaidiwa vyumba kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Unyanyapaa ni Changamoto:China

Hatma ya mvulana mmoja ,China anayeishi na virusi vya wa ukimwi iko mashakani baada ya wanakijiji kumtaka ahame kijijni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani