Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wananchi watakiwa kuelimishana kuhusu corona.


Na Woinde Shizza,ARUSHA
Chama Cha wafanyabiashara ( TCCIA)Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Trade Mark East Africa na TRIAS kimegawa vifaa kinga vyenye thamani ya sh,mil. 4 kwenye masoko matatu katika jiji la Arusha kama njia Moja wapo ya kupambana na maambikizo ya ugonjwa hatari wa Corona na kuunga mkono jitihada za serikali dhidi ya ugonjwa huo.
Akikabidhi vifaa hivyo zikiwemo ndoo za maji ya kutiririka,vitakasa mikono na Barakao ,mwenyekiti wa TCCIA ,Wolter Maeda aliwataka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

UN yapongeza mkakati wa kuelimishana kuhusu SDGs

DSC_0235

Katibu Mkuu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Mzee akifungua rasmi warsha ya siku moja ya iliyohusisha wadau mbalimbali wa maendeleo, kuangalia malengo ya programu ya maendeleo endelevu (SDGs), iliyoandaliwa na taasisi ya utafiti wa uchumi na jamii (ESRF) iliyofanyika hivi karibuni visiwani Zanzibar. Kulia kwake ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez na Mkurugenzi wa Idara...

 

10 years ago

GPL

UN YAPONGEZA MKAKATI WA KUELIMISHANA KUHUSU SDGs‏

Katibu Mkuu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Mzee akifungua rasmi warsha ya siku moja ya iliyohusisha wadau mbalimbali wa maendeleo, kuangalia malengo ya programu ya maendeleo endelevu (SDGs), iliyoandaliwa na taasisi ya utafiti wa uchumi na jamii (ESRF) iliyofanyika hivi karibuni visiwani Zanzibar. Kulia kwake ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI TANDAHIMBA WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI YA UGONJWA WA CORONA

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Benaya Kapinga amewataka  wananchi kuchukua tahadhari na ugonjwa wa corona kwani Wilaya hii ipo mpakani

Akizungumza leo Wilayani hapa  Kapinga amesema kuwa wananchi  wanatakiwa kuacha kusalimiana kwa kushikana mikono ili kujikinga na Corona

Amesema kila mwananchi ahakikishe ana nawa mikono na maji tiririka  na sabuni ikiwa ni miongoni mwa hatua za awali za kujikinga

Naye Mganga Mkuu wa Wilaya Antpas Swai amesema tayari  wametenga Zahanati ya mtegu kwa ajili ya...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WATAKIWA KUACHA KUPUUZIA UGONJWA WA CORONA KWANI UPO NA UNAUWA




*******************************

Na Woinde Shizza , KILIMANJARO 
Diwani wa kata ya Bomambuzi iliopo ndani ya manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Juma Rahib amewataka wananchi kuacha kupuuzia ugonjwa huu wa Corona kwani upo na unauwa hivyo ,amewataka watanzania wote kuendelea kuchukuwa tahathari kwa kufuata maelekezo yote yanayotolewa na wataalam wa Afya. 
Aidha pia aliwaonya baadhi ya watu ambao wanajitokeza katika sehemu mbalimbali ikiwemo Mkoani Kilimanjaro na kudai kuwa wamevumbua dawa ya...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WILAYANI MWANGA WATAKIWA KUVITUNZA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA

Charles James, Michuzi TV

WANANCHI wametakiwa kuvitunza na kuvithamini vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona vinavyotolewa na wadau mbalimbali nchini katika kusaidia kujikinga na ugonjwa huo.

Kauli hiyo imetolewa wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro na Mkurugenzi wa Taasisi ya Dk Msuya, Dk Ombeni Msuya wakati akikabidhi mashine za kisasa za kunawia mikono kwenye Misikiti na Zahanati wilayani humo.

Taasisi hiyo ya Dk Msuya imekua ikiiunga mkono serikali katika sekta mbalimbali...

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO, KUHAMASISHA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI YA CORONA


Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu (Tahliso) katika mkutano wa pamoja jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akiwa katika picha ya pamoja na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (Tahliso).



Charles James, Globu ya Jamii

VIJANA nchini wametakiwa kuwa wabunifu katika kufikia ndoto zao na siyo kukaa vijiweni wakilalamikia ugumu wa...

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya afya yatoa ufafanuzi maswali ya Wananchi kuhusu Corona

Na WAMJW-Dar es Salaam

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema amekuwa akipokea maoni, maswali na ushauri kutoka kwa wananchi wakitaka kujua jitihada mbalimbali za Serikali za kukabiliana na homa kali ya mapafu na amewaagiza wataalamu wake kuanza  kujibu maswali.

Waziri Ummy amesema  maswali, maoni na ushauri huo unatoka kwa wananchi kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na kituo cha wizara cha kupokea simu kuhusu ugonjwa wa homa ya...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi awaomba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoa Elimu kwa Wananchi kuhusu mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

 Kamati ya Uongozi wa Baraza la Wawakilishi ya CCM ikimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mchango wa Shilingi Milioni 50,000,000/-  kwa ajili ya kusaidia vita dhidi ya mapambano ya kukabiliana na Virusi vya Corona Nchini.Kati kati ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh.Zubeir Ali Maulid, Mnadhimu wa Baraza hilo Mh. Ali Salul Haji, Mwakilishi Viti Maalum Kusini Unguja Mh. Salma Mussa Bilal na Mwakilioshi wa Jimbo la Kikwajuni Mh. Salum Jazira.  Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh. Zubeir...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Taarifa ambazo si sahihi kuhusu corona zimetapakaa Afrika?

Madai kuhusu virusi Corona ambayo hayana udhibitisho zimetapakaa katika mataifa mbalimbali Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani