UN yapongeza mkakati wa kuelimishana kuhusu SDGs
Katibu Mkuu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Mzee akifungua rasmi warsha ya siku moja ya iliyohusisha wadau mbalimbali wa maendeleo, kuangalia malengo ya programu ya maendeleo endelevu (SDGs), iliyoandaliwa na taasisi ya utafiti wa uchumi na jamii (ESRF) iliyofanyika hivi karibuni visiwani Zanzibar. Kulia kwake ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez na Mkurugenzi wa Idara...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_0235.jpg)
UN YAPONGEZA MKAKATI WA KUELIMISHANA KUHUSU SDGs
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YCzBh2HE6jg/XrLg96VNetI/AAAAAAALpTs/s0drzBeC6hMmGWP8G4jx0w3zuL_RL0ecACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200506-WA0084.jpg)
wananchi watakiwa kuelimishana kuhusu corona.
Na Woinde Shizza,ARUSHA
Chama Cha wafanyabiashara ( TCCIA)Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Trade Mark East Africa na TRIAS kimegawa vifaa kinga vyenye thamani ya sh,mil. 4 kwenye masoko matatu katika jiji la Arusha kama njia Moja wapo ya kupambana na maambikizo ya ugonjwa hatari wa Corona na kuunga mkono jitihada za serikali dhidi ya ugonjwa huo.
Akikabidhi vifaa hivyo zikiwemo ndoo za maji ya kutiririka,vitakasa mikono na Barakao ,mwenyekiti wa TCCIA ,Wolter Maeda aliwataka...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JqcExJ16frM/VQCTJhhpnnI/AAAAAAAHJq0/mMP3IGilYD0/s72-c/unnamed%2B(16).jpg)
Ban ki Moon asifia viongozi walioshirikiana naye katika mkakati wa kimataifa kuhusu vuguvugu la kila mwananamke, kile mtoto
![](http://2.bp.blogspot.com/-JqcExJ16frM/VQCTJhhpnnI/AAAAAAAHJq0/mMP3IGilYD0/s1600/unnamed%2B(16).jpg)
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban ki Moon, amesema kama si utashi wa kisiasa, kujituma, na kujitolea kulikofanywa na viongozi mbalimbali aliowaomba kufanya naye kazi kwa karibu huku wengine wakijitolea wenyewe, uhai wa wanawake na...
10 years ago
MichuziBUNGE LAANDAA SEMINA MAALUMU KUHUSU UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI WA MAWASILIANO NA NAMNA BORA YA KUPOKEA MAONI YA WADAU WAKATI WA KAMATI ZAKE
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Wafanyakazi Wizara ya Habari waelezea namna wizara yao inavyoweza kufanikisha Mkakati wa Kitaifa kuhusu matumizi ya Kondomu
Afisa Tawala wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Mussa Varisanga akielezea jambo wakati wa kikao cha pamoja na washauri kuhusu masuala ya Kondomu wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya Kondomu unaoratibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge.
Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge akizungumza na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo pichani) wakati...
9 years ago
TheCitizen09 Oct
Scholars optimistic about SDGs
9 years ago
Habarileo26 Sep
SDGs kuwapaisha wanawake
MALENGO Endelevu ya Dunia (SDGs) yamezinduliwa jana katika Baraza la Umoja wa Mataifa nchini Marekani, sambamba na uzinduzi wa ripoti ya Sauti za Wananchi ambayo Tanzania nayo imeshiriki.
9 years ago
TheCitizen09 Dec
New govt cautioned over SDGs
9 years ago
AllAfrica.Com10 Dec
Tanzania: New Govt Cautioned Over SDGs
IPPmedia
AllAfrica.com
Dar es Salaam — While Dr John Magufuli government has started with a bang in the area of financial management and accountability of civil servants, a warning has been issued by experts that whatever is done by the government falls in line with plans ...
SDGs: Reps Committed To Attainment Of Set GoalsLeadership Newspapers
Govt urged to align national priorities to launched SDGs.IPPmedia
From MDGs to SDGs, WHO launches new...