Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ban ki Moon asifia viongozi walioshirikiana naye katika mkakati wa kimataifa kuhusu vuguvugu la kila mwananamke, kile mtoto

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,  Ban ki Moon, akihutubia wakati wa uzinduzi wa  ripoti mpya  kuhusu mkakati wa kimataifa kuhusu vuguvugu la  kila  mwananamke, kile mtoto, ( every woman, every child) mkakati ambao aliuratibu mwaka 2010 .Na Mwandishi Maalum.


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,  Ban ki Moon,  amesema kama si utashi wa kisiasa,  kujituma, na kujitolea kulikofanywa na  viongozi mbalimbali aliowaomba kufanya naye kazi kwa karibu huku wengine wakijitolea wenyewe,  uhai wa  wanawake na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Ban Ki Moon ampongeza JK katika kupugania Afya ya Mama — Mtoto

Secretary-General Ban Ki-moon meets with H.E. Mr. Jakaya Mrisho Kikwete (President, TANZANIA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon.(Picha na Maktaba).

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesifu jitihada za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  mchango wake mkubwa katika kupigania Afya ya Mama na Mtoto.

Bw. Ban Ki Moon ametoa pongezi hizo tarehe 30 Mei,2014 wakati alipokuwa akizungumzia  juhudi za kumuokoa Mama na Mtoto baada ya Mwaka 2015, mwishoni mwa mkutano wa siku 3 kuhusu Afya ya Mama na Mtoto kama...

 

10 years ago

Michuzi

BAN KI MOON AWAGEUKIA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI DUNIANI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban  Ki Moon akiwa na  Viongozi wa Madhehebu  mbalimbali ya Dini mara baada ya  viongozi hao wa dini kuzungumza katika mkutano wa ngazi ya juu uliojadili  pamoja na mambo mengi kuongezeka kwa vurugu zitokanazo na itikadi kali za kidini na ukereketwa wa kupindukia na  nini kifanyike kukabiliana na  changamoto hiyo. katika picha hii yupo pia Rais wa Baraza Kuu la  Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutessa ambaye ndiye aliyandaa mkutano huo.Na  Mwandishi Maalum, New...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu wa Mbunge awashukuru walioshirikiana naye msiba wa mama yake

Katibu wa Mbunge wa Viti Maalum, Al Sheimar Kweigyir (Semeni Kingaru) mwenye shati la mikono mirefu, akiwa kwenye mazishi ya mama yake mzazi Bi Kibibi Haji Pembe, aliyezikwa Machi 3, kijiji cha Misugusugu, Kibaha, mkoani Pwani.
"Nashukuru Watanzania wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha msiba na mazishi ya mama yetu kwa kutufanyia mambo mengi yenye kuleta ushirikiano kwa jamii kwa rambimbari zilizoonyesha kuguswa na msiba huu. Familia haina cha kuwalipa, isipokuwa kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Ki Moon ziarani Nigeria

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon amewasili jana nchini Nigeria kuanza ziara ya siku mbili.

 

11 years ago

BBC

Viewpoint: CAR needs help - Ban Ki-Moon

UN chief says CAR 'must not become another Rwanda'

 

9 years ago

Habarileo

Ban Ki-moon amkubali Rais Magufuli

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Kimoon ameeleza imani yake kwa Rais John Magufuli akisema chini ya uongozi wake, Serikali ya Tanzania itashughulika na juhudi za kuondoa umaskini, kuimarisha utawala na kupigania amani na utulivu katika Afrika Mashariki na nje ya ukanda.

 

11 years ago

Dewji Blog

Ban Ki Moon awafunda manesi na madaktari

Ethiopia UN Ebola

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon.

Na Mwandishi wetu

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon amezitaka nchi duniani kuacha tabia ya unyanyapaa kwa madaktari na manesi waliofanya kazi katika nchi zilizoathiriwa na ugonjwa wa Ebola na kuwalazimisha kwenda karantini pindi warejeapo nyumbani.

Akizungumza katika mji mkuu wa Ethiopia Adiss ababa, Ban amewaelezea wafanyakazi wa namna hiyo kuwa ni wa kipekee mno, marafiki wazuri na si vyema kuwatenga.

Kauli hiyo inakuja baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

BAN KI MOON SALUTES PRESIDENT KIKWETE

The following is a congratulatory message from Ban Ki Moon, Secretary General of the United Nations to H.E. Jakayla Mish Kikwete, President of the United Republic of Tanzania on the occasion of the Union Day which was cerebrated of 26 April 2015.
“You’re Excellency,
I am Pleased to offer you and the Government and people of the United Republic of Tanzania my warmest congratulations on the occasion of the Union This year marks the 70th anniversary of the United Nations,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Moon asikitishwa na mapigano Yemen

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea tahadhari yake kuhusiana na hatari ya raia kuendelea kupigana, Nchini Yemen.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani