Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ban Ki Moon awafunda manesi na madaktari

Ethiopia UN Ebola

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon.

Na Mwandishi wetu

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon amezitaka nchi duniani kuacha tabia ya unyanyapaa kwa madaktari na manesi waliofanya kazi katika nchi zilizoathiriwa na ugonjwa wa Ebola na kuwalazimisha kwenda karantini pindi warejeapo nyumbani.

Akizungumza katika mji mkuu wa Ethiopia Adiss ababa, Ban amewaelezea wafanyakazi wa namna hiyo kuwa ni wa kipekee mno, marafiki wazuri na si vyema kuwatenga.

Kauli hiyo inakuja baada ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nitaboresha maslahi ya manesi na madaktari

Mgombea wa urais kupitia CCM Dk John Magufuli amesema iwapo atapatiwa ridhaa ya kuingia Ikulu atahakikisha anaboresha maslahi ya manesi na madaktari na kuongeza kuwa hatawavumilia watumishi wote wanaofungia dawa kwenye mabohari mpaka zinaharibika.

 

5 years ago

CCM Blog

MADAKTARI NA MANESI 1700 NCHINI CHINA WAATHIRIKA NA VIRUSI CORONA

Zaidi ya madaktari na manesi 1700 nchini China wameathirika na virusi vya CoronaKamisheni ya Afya ya Kitaifa nchini China amesema kuwa, zaidi ya madaktari na manesi 1700 wameathirika na virusi vya Corona nchini humo.Taaifa iliyotolewa na kamisheni hiyo jana Ijumaa mjini Beijing imebaini kuwa zaidi ya watu 1,500 kati ya madaktari na manesi hao, wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa Hubei ambapo 1,102 miongoni mwao waliambukizwa virusi hivyo katika mji wa Wuhan, makao makuu ya mkoa huo. Taarifa hiyo hiyo imeongeza kuwa idadi ya maafisa hao wa afya walioambukizwa virusi...

 

11 years ago

BBC

Viewpoint: CAR needs help - Ban Ki-Moon

UN chief says CAR 'must not become another Rwanda'

 

9 years ago

BBCSwahili

Ban Ki Moon ziarani Nigeria

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon amewasili jana nchini Nigeria kuanza ziara ya siku mbili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ban Ki-moon ataoa tahadhari CAR

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema nchi ya Jamuhuri ya Kati haipaswi kuruhusiwa kugeuka kuwa Rwanda nyingine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Ki Moon akemea machafuko, Nigeria

Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon amekemea machafuko yanayoendelea nchini Nigeria

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Ki moon afanya maamuzi magumu

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon, amesema amemfukuza mkuu wa kulinda amani toka UN nchini Afrika ya kati.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Ki Moon ziarani Pembe ya Afrika

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon yuko nchini Ethiopia kujadili mlipuko wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Ki-Moon alaani yanayojiri S.kusini

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Ban Ki Moon amelaani kufukuzwa kwa mratibu wa misaada ya kibinaadam Sudani kusini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani