BAN KI MOON AWAGEUKIA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI DUNIANI
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon akiwa na Viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya Dini mara baada ya viongozi hao wa dini kuzungumza katika mkutano wa ngazi ya juu uliojadili pamoja na mambo mengi kuongezeka kwa vurugu zitokanazo na itikadi kali za kidini na ukereketwa wa kupindukia na nini kifanyike kukabiliana na changamoto hiyo. katika picha hii yupo pia Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutessa ambaye ndiye aliyandaa mkutano huo.Na Mwandishi Maalum, New...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AONYA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI KUTOJIHUSISHA NA SIASA
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirro akisoma jiwe la msingi aliloweka ikiwa ni ujenzi wa makazi ya Askari wa jeshi hilo kwenye eneo la FFU kata ya Muriet jijini Arusha pembeni yake ni mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na mbele yao ni Balozi wa heshima wa Serikali ya Dubai Fouad Martis wakifuatilia tukio hilo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Sirro kulia akiwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo katikati na pembeni mwenye suti ya Bluu ni Balozi wa...
10 years ago
MichuziBan ki Moon asifia viongozi walioshirikiana naye katika mkakati wa kimataifa kuhusu vuguvugu la kila mwananamke, kile mtoto
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban ki Moon, amesema kama si utashi wa kisiasa, kujituma, na kujitolea kulikofanywa na viongozi mbalimbali aliowaomba kufanya naye kazi kwa karibu huku wengine wakijitolea wenyewe, uhai wa wanawake na...
10 years ago
Habarileo12 Feb
AG ahofia madhehebu ya dini kuigawa nchi
VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini, wamesisitiziwa kutoyatumia vibaya majukwaa yao ya kiimani kwa kazi za kisiasa, ikielezwa kuwa, kufanya hivyo wanaweza kujikuta wakiingiza nchi katika machafuko yasiyotarajiwa.
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Madhehebu ya dini yasadie malezi bora kwa watoto
10 years ago
MichuziVIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...
10 years ago
MichuziMangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...
11 years ago
BBC9 years ago
BBCSwahili24 Aug
Ban Ki Moon ziarani Nigeria
10 years ago
MichuziBAN KI MOON SALUTES PRESIDENT KIKWETE
“You’re Excellency,
I am Pleased to offer you and the Government and people of the United Republic of Tanzania my warmest congratulations on the occasion of the Union This year marks the 70th anniversary of the United Nations,...