Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP SIRRO AONYA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI KUTOJIHUSISHA NA SIASA


Mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirro akisoma jiwe la msingi aliloweka ikiwa ni ujenzi wa makazi ya Askari wa jeshi hilo kwenye eneo la FFU kata ya Muriet jijini Arusha pembeni yake ni mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na mbele yao ni Balozi wa heshima wa Serikali ya Dubai Fouad Martis wakifuatilia tukio hilo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Sirro kulia akiwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo katikati na pembeni mwenye suti ya Bluu ni Balozi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

VYAMA 10 VILISIVYO NA UWAKILISHI BUNGENI VYAWATAKA VIONGOZI WA DINI KUTOJIHUSISHA NA SIASA

Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kwa niaba ya vyama 10 visivyo na uwakilishi wa wabunge Bungeni wakati wakitoa tamko kuhusu viongozi wa dini kutojihusisha na masuala ya siasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu 2015 . Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Ali Kaniki na Katibu Mkuu wa Chama cha Wakulima Tanzania (AFP), Rashid Rai.Katibu Mkuu wa Chama cha Wakulima...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWAONYA WATALII KUTOJIHUSISHA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA



  NUNGWI, ZANZIBAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa Jeshi la Polisi kamwe halitamvumilia mtu yeyote atakayejihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo kujihusisha na uuzaji na usambazaji wa dawa za kulevya pamoja na uhalifu mwingine.

IGP Sirro amesema hayo leo wakati akifungua kituo cha utalii Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja kisiwani Zanzibar, huku akiwataka watendaji wa Jeshi la Polisi nchini kuendelea kutekeleza wajibu wao kwa weledi na kwa kufuata misingi ya...

 

10 years ago

Michuzi

BAN KI MOON AWAGEUKIA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI DUNIANI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban  Ki Moon akiwa na  Viongozi wa Madhehebu  mbalimbali ya Dini mara baada ya  viongozi hao wa dini kuzungumza katika mkutano wa ngazi ya juu uliojadili  pamoja na mambo mengi kuongezeka kwa vurugu zitokanazo na itikadi kali za kidini na ukereketwa wa kupindukia na  nini kifanyike kukabiliana na  changamoto hiyo. katika picha hii yupo pia Rais wa Baraza Kuu la  Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutessa ambaye ndiye aliyandaa mkutano huo.Na  Mwandishi Maalum, New...

 

10 years ago

Habarileo

JK aonya chokochoko za siasa kupitia dini

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Parokia Mama Mwenye Huruma, Ngokolo mjini Shinyanga jana. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amesema wakati taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu, kumeibuka nyufa zinazojengwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa na mashabiki wao ambao wanatumia tofauti za dini zilizopo nchini kwa uchu wa kuingia madarakani.

 

10 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni siasa'

KAMANDA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Philemon Mollel amewataka viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuacha kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa badala yake wahubiri amani.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Viongozi wa dini wanaoshabikia siasa watubu’

Katibu Mkuu wa makanisa ya Kipentekoste nchini, Askofu David Mwasota amesema viongozi wa dini wanaojihusisha na siasa, wanapaswa kutubu kwa Mungu kwa kuwa nyadhifa zao haziwaruhusu kufanya hivyo.

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kutoshabikia siasa chafu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck SadikiVIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kutojihusisha na kampeni chafu za siasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya nyumba za ibada.

 

9 years ago

Raia Mwema

Viongozi wa dini waweke akiba ya maneno wakati wa siasa

HUKO nyuma, mwaka 2005, wakati Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Ki

Njonjo Mfaume

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani