Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ban Ki Moon ampongeza JK katika kupugania Afya ya Mama — Mtoto

Secretary-General Ban Ki-moon meets with H.E. Mr. Jakaya Mrisho Kikwete (President, TANZANIA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon.(Picha na Maktaba).

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesifu jitihada za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  mchango wake mkubwa katika kupigania Afya ya Mama na Mtoto.

Bw. Ban Ki Moon ametoa pongezi hizo tarehe 30 Mei,2014 wakati alipokuwa akizungumzia  juhudi za kumuokoa Mama na Mtoto baada ya Mwaka 2015, mwishoni mwa mkutano wa siku 3 kuhusu Afya ya Mama na Mtoto kama...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ban ki Moon asifia viongozi walioshirikiana naye katika mkakati wa kimataifa kuhusu vuguvugu la kila mwananamke, kile mtoto

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,  Ban ki Moon, akihutubia wakati wa uzinduzi wa  ripoti mpya  kuhusu mkakati wa kimataifa kuhusu vuguvugu la  kila  mwananamke, kile mtoto, ( every woman, every child) mkakati ambao aliuratibu mwaka 2010 .Na Mwandishi Maalum.


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,  Ban ki Moon,  amesema kama si utashi wa kisiasa,  kujituma, na kujitolea kulikofanywa na  viongozi mbalimbali aliowaomba kufanya naye kazi kwa karibu huku wengine wakijitolea wenyewe,  uhai wa  wanawake na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPHI kuboresha afya ya mama, mtoto

NOVEMBA 23, mwaka huu, viongozi mbalimbali walipewa tuzo za kutambua mchango wao katika kuboresha afya ya mama na mtoto. Tuzo hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Madaktari Waliosoma Vyuo Vikuu nchini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Jitokezeni kuchangia afya ya mama na mtoto’

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, amewataka wananchi kujitokeza kuchangia fedha kwa ajili ya Kampeni ya ‘Simama kwa ajili ya akina mama wa Afrika’. Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali kuboresha Afya ya mama na mtoto

1

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akijibu moja ya maswali yaliyoelekezwa kwenye wizara yake katika kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.

Na Lorietha Laurence- Maelezo Dodoma

Serikali imeandaa  mikakati mbalimbali  ya  kuboresha afya ya wanawake wajawazito ili kupunguza vifo vitokanavyo na  uzazi.

Akijibu swali kwa Niaba ya Waziri wa Afya na Ustawi, katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini  Dodoma, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na...

 

10 years ago

Vijimambo

AFYA YA MAMA NA MTOTO NI AJENDA ENDELEVU-WADAU

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete katika picha hii ya maktaba anaonekana akimpa hongera mama ambaye amejifungua salama yeye na mtoto wake. Afya ya mama na mtoto ni moja ya ajenda ambayo inapewa umuhimu wa pekee katika duru ya Jumuiya ya Kimataifa. Tanzania na Canada kupitia wakilishi zao za Kudumu katika Umoja wa Mataifa zimeanzisha kundi la Nchi Marafiki kuhusu ajenda hiyo ya Afya ya Mama na Mtoto lengo kuu kuhakikisha kuwa mama na mtoto ni ajenda ambayo haifi.Wawakilishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

AFYA YA MAMA NA MTOTO NI AJENDA ENDELEVU - WADAU

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete katika picha hii ya maktaba anaonekana akimpa hongera mama ambaye amejifungua salama yeye na mtoto wake. Afya ya mama na mtoto ni moja ya ajenda ambayo inapewa umuhimu wa pekee katika duru ya Jumuiya ya Kimataifa. Tanzania na Canada kupitia wakilishi zao za Kudumu katika Umoja wa Mataifa zimeanzisha kundi la Nchi Marafiki kuhusu ajenda hiyo ya Afya ya Mama na Mtoto lengo kuu kuhakikisha kuwa mama na mtoto ni ajenda ambayo haifi. Wawakilishi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA CANADA KUUNDA KUNDI LA NCHI MARAFIKI KUHUSU AFYA YA MAMA NA MTOTO

Mhe. Rais Jakaya Kikwete ambaye amekuwa mstari wa mbele katika juhudi za kuboresha afya ya mama, mtoto mchanga na mtoto anaoneka katika picha hii kutoka maktaba akimjulia hali mama mzazi pamoja na watoto wake. Mhe. Rais Kikwete na Waziri Mkuu wa Canada ni wenyeviti wenza wa Kamisheni ya Habari na Uwajibikaji katika masuala ya Afya ya Mama na Mtoto. Juhudi za Rais na Waziri Mkuu katika eneo hilo zitapatiwa msukumo zaidi wakati wa majadiliano ya ajeda ya maendeleo baada ya mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NA CANADA KUUNDA KUNDI LA NCHI MARAFIKI KUHUSU AFYA YA MAMA NA MTOTO

Mhe. Rais Jakaya Kikwete ambaye amekuwa mstari wa mbele katika juhudi za kuboresha afya ya mama, mtoto mchanga na mtoto anaoneka katika picha hii kutoka maktaba akimjulia hali mama mzazi pamoja na watoto wake. Mhe. Rais Kikwete na Waziri Mkuu wa Canada ni wenyeviti wenza wa Kamisheni ya Habari na Uwajibikaji katika masuala ya Afya ya Mama na Mtoto. Juhudi za Rais na Waziri Mkuu katika eneo hilo zitapatiwa msukumo zaidi wakati wa majadiliano ya ajeda ya maendeleo baada ya mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani