Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuboresha Afya ya mama na mtoto

1

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akijibu moja ya maswali yaliyoelekezwa kwenye wizara yake katika kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.

Na Lorietha Laurence- Maelezo Dodoma

Serikali imeandaa  mikakati mbalimbali  ya  kuboresha afya ya wanawake wajawazito ili kupunguza vifo vitokanavyo na  uzazi.

Akijibu swali kwa Niaba ya Waziri wa Afya na Ustawi, katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini  Dodoma, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TPHI kuboresha afya ya mama, mtoto

NOVEMBA 23, mwaka huu, viongozi mbalimbali walipewa tuzo za kutambua mchango wao katika kuboresha afya ya mama na mtoto. Tuzo hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Madaktari Waliosoma Vyuo Vikuu nchini...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAHAIDI KUZIDI KUPIGA JEKI WAFANYAKAZI WA AFYA YA JAMII KUBORESHA AFYA YA JAMII VIJIJINI

 Na Mwandishi Wetu,SERIKALI ya Tanzania imeelezea utayari wake wa kupiga jeki na kuwajumuisha wafanyakazi wa afya ya jamii katika nguvukazi ya sekta ya afya (national health workforce) ya taifa ili kuboresha afya ya jamii hususani katika maeneo ya vijijini.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau wa mradi wa mafunzo ya wafanyakazi wa afya ya jamii (Community Health Worker Learning Agenda Project - CHW-LAW) jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji (idara ya uzazi na afya ya mtoto)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Jitokezeni kuchangia afya ya mama na mtoto’

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, amewataka wananchi kujitokeza kuchangia fedha kwa ajili ya Kampeni ya ‘Simama kwa ajili ya akina mama wa Afrika’. Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

AFYA YA MAMA NA MTOTO NI AJENDA ENDELEVU-WADAU

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete katika picha hii ya maktaba anaonekana akimpa hongera mama ambaye amejifungua salama yeye na mtoto wake. Afya ya mama na mtoto ni moja ya ajenda ambayo inapewa umuhimu wa pekee katika duru ya Jumuiya ya Kimataifa. Tanzania na Canada kupitia wakilishi zao za Kudumu katika Umoja wa Mataifa zimeanzisha kundi la Nchi Marafiki kuhusu ajenda hiyo ya Afya ya Mama na Mtoto lengo kuu kuhakikisha kuwa mama na mtoto ni ajenda ambayo haifi.Wawakilishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

AFYA YA MAMA NA MTOTO NI AJENDA ENDELEVU - WADAU

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete katika picha hii ya maktaba anaonekana akimpa hongera mama ambaye amejifungua salama yeye na mtoto wake. Afya ya mama na mtoto ni moja ya ajenda ambayo inapewa umuhimu wa pekee katika duru ya Jumuiya ya Kimataifa. Tanzania na Canada kupitia wakilishi zao za Kudumu katika Umoja wa Mataifa zimeanzisha kundi la Nchi Marafiki kuhusu ajenda hiyo ya Afya ya Mama na Mtoto lengo kuu kuhakikisha kuwa mama na mtoto ni ajenda ambayo haifi. Wawakilishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI


RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.

Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa Rais wa awamu ya tano Zanzibar kuboresha ofisi ya serikali ya mtaa kata ya Tabata

01

Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi Cheti, Mwenyekiti wa UWT ambaye pia ni Kaimu Katibu wa CCM wa Tabata Relini, Shahani Mtwawa, wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake mgeni rasmi huyo, aliahidi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ban Ki Moon ampongeza JK katika kupugania Afya ya Mama — Mtoto

Secretary-General Ban Ki-moon meets with H.E. Mr. Jakaya Mrisho Kikwete (President, TANZANIA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon.(Picha na Maktaba).

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesifu jitihada za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  mchango wake mkubwa katika kupigania Afya ya Mama na Mtoto.

Bw. Ban Ki Moon ametoa pongezi hizo tarehe 30 Mei,2014 wakati alipokuwa akizungumzia  juhudi za kumuokoa Mama na Mtoto baada ya Mwaka 2015, mwishoni mwa mkutano wa siku 3 kuhusu Afya ya Mama na Mtoto kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani