AFYA YA MAMA NA MTOTO NI AJENDA ENDELEVU - WADAU
![](http://3.bp.blogspot.com/-cwDLp5-daKw/VP1NKNqbXkI/AAAAAAAHI1E/MrL8sZd4fiE/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete katika picha hii ya maktaba anaonekana akimpa hongera mama ambaye amejifungua salama yeye na mtoto wake. Afya ya mama na mtoto ni moja ya ajenda ambayo inapewa umuhimu wa pekee katika duru ya Jumuiya ya Kimataifa. Tanzania na Canada kupitia wakilishi zao za Kudumu katika Umoja wa Mataifa zimeanzisha kundi la Nchi Marafiki kuhusu ajenda hiyo ya Afya ya Mama na Mtoto lengo kuu kuhakikisha kuwa mama na mtoto ni ajenda ambayo haifi.
Wawakilishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-YOwyCH_MW8o/VPz4hg458VI/AAAAAAADbrE/w1AKmoZmgOU/s72-c/IMG_6972%2B-%2BCopy.jpg)
AFYA YA MAMA NA MTOTO NI AJENDA ENDELEVU-WADAU
![](http://4.bp.blogspot.com/-YOwyCH_MW8o/VPz4hg458VI/AAAAAAADbrE/w1AKmoZmgOU/s1600/IMG_6972%2B-%2BCopy.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
TPHI kuboresha afya ya mama, mtoto
NOVEMBA 23, mwaka huu, viongozi mbalimbali walipewa tuzo za kutambua mchango wao katika kuboresha afya ya mama na mtoto. Tuzo hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Madaktari Waliosoma Vyuo Vikuu nchini...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
‘Jitokezeni kuchangia afya ya mama na mtoto’
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, amewataka wananchi kujitokeza kuchangia fedha kwa ajili ya Kampeni ya ‘Simama kwa ajili ya akina mama wa Afrika’. Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo...
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Serikali kuboresha Afya ya mama na mtoto
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akijibu moja ya maswali yaliyoelekezwa kwenye wizara yake katika kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
Na Lorietha Laurence- Maelezo Dodoma
Serikali imeandaa mikakati mbalimbali ya kuboresha afya ya wanawake wajawazito ili kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.
Akijibu swali kwa Niaba ya Waziri wa Afya na Ustawi, katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na...
11 years ago
Dewji Blog31 May
Ban Ki Moon ampongeza JK katika kupugania Afya ya Mama — Mtoto
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon.(Picha na Maktaba).
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesifu jitihada za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mchango wake mkubwa katika kupigania Afya ya Mama na Mtoto.
Bw. Ban Ki Moon ametoa pongezi hizo tarehe 30 Mei,2014 wakati alipokuwa akizungumzia juhudi za kumuokoa Mama na Mtoto baada ya Mwaka 2015, mwishoni mwa mkutano wa siku 3 kuhusu Afya ya Mama na Mtoto kama...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-H4FbbEINGRE/VLYRFW9LkhI/AAAAAAAG9Po/XMakAK3OcbY/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
TANZANIA NA CANADA KUUNDA KUNDI LA NCHI MARAFIKI KUHUSU AFYA YA MAMA NA MTOTO
![](http://1.bp.blogspot.com/-H4FbbEINGRE/VLYRFW9LkhI/AAAAAAAG9Po/XMakAK3OcbY/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
11 years ago
Dewji Blog28 May
Rais Kikwete awasili Toronto, Canada kuhudhuria mkutano wa Afya ya Mama na Mtoto
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili Toronto Canada tarehe 27 Mei, 2014 usiku kuhudhuria mkutano unaohusu Afya ya Mama na Mtoto kufuatia mualiko kutoka kwa Waziri Mkuu wa Canada Mheshimiwa Stephen Harper.
Mkutano wa Afya ya Mama na Mtoto , (Maternal, Newborn and Child Health -MNCH) unaanza Leo tarehe 28 – 30 Mei, 2014 ambapo Rais Kikwete pia anatarajiwa kuwa miongoni mwa wazungumzaji wakuu.
Lengo la mkutano huu ni kutoa nafasi kwa wataalamu na viongozi wa dunia kufikia makubaliano kwa...