Rais Kikwete awasili Toronto, Canada kuhudhuria mkutano wa Afya ya Mama na Mtoto
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili Toronto Canada tarehe 27 Mei, 2014 usiku kuhudhuria mkutano unaohusu Afya ya Mama na Mtoto kufuatia mualiko kutoka kwa Waziri Mkuu wa Canada Mheshimiwa Stephen Harper.
Mkutano wa Afya ya Mama na Mtoto , (Maternal, Newborn and Child Health -MNCH) unaanza Leo tarehe 28 – 30 Mei, 2014 ambapo Rais Kikwete pia anatarajiwa kuwa miongoni mwa wazungumzaji wakuu.
Lengo la mkutano huu ni kutoa nafasi kwa wataalamu na viongozi wa dunia kufikia makubaliano kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete awasili nchini akitokea Toronto Canada


11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 69 WA UN
11 years ago
Dewji Blog07 May
Rais Kikwete awasili Abuja, Nigeria, kuhudhuria Mkutano wa Uchumi Duniani (World Economic Forum)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri wa Nishati wa Nigeria Profesa Chinedu Ositadinma Nebo na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe Daniel Ole Njoolay katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi...
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AWASILI ABUJA, NIGERIA, KUHUDHURIA MKUTANO WA UCHUMI DUNIANI (WORLD ECONOMIC FORUM)
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA


11 years ago
Michuzi.jpg)
Rais Kikwete awasili Washington kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit)
.jpg)
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AWASILI WASHINGTON KUHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA AMERIKA NA AFRICA (US-AFRICA LEADERS SUMMIT)
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi