Cristiano Ronaldo aonesha mapenzi kwa shabiki aliyevamia uwanjani na kumkumbatia
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa kwenye mechi ya ligi ya mabingwa wa Ulaya dhidi ya PSG iliyochezwa jijini Paris, Ufaransa ameonesha mapenzi ya juu kwa shabiki aliyevamia uwanjani. Shabiki huyo alivamia uwanjani wakati Madrid ikipambana na PSG na alipomfikia Ronaldo, alimpokea na kumkumbatia. Hata wakati walinzi wa uwanjani wanaingia ili kumtoa, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo528 Oct
Picha: Cristiano Ronaldo aonesha viatu vyake vipya vya CR7
10 years ago
StarTV19 Aug
CRISTIANO RONALDO AMENUNUA APARTMENT KWA $18.5 MIL JIJINI NEW YORK…JE, ANAJIANDAA KWENYE MLS?
Baadhi ya wachambuzi wana-bet kwamba sio miaka mingi tutamuona Ronaldo anahamia kwenye ligi ya MLS ambayo hivi sasa inaonekana kuwa na mvuto wa kibiashara sana kwa kuwa kwenye headlines nyingi pamoja na baadhi ya ma legend kuhamia kwenye hiyo ligi.
Gazeti la New York Post limeandika kwamba Ronaldo amenunua aparment ya kifahari kwenye jiji la New York. Appartment hiyo ipo kwenye moja ya magorofa ya bilionea Donald Trump. Lakini hiyo apartment wakati Ronaldo anainunua ilikua inamilikiwa na...
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Kocha Liewig nusura azichape ‘kavukavu’ na shabiki uwanjani
11 years ago
GPL
CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA ULAYA
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya BBC.
10 years ago
Mtanzania02 Oct
Cristiano Ronaldo afikisha mabao 500
MADRID, HISPANIA
NYOTA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amefanikiwa kufikisha mabao 500 katika historia yake ya soka baada ya juzi kuifungia klabu yake mabao mawili katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Malmo.
Mabao hayo ya Ronaldo yametokana na kucheza michezo 753 katika klabu mbalimbali pamoja na timu yake ya taifa ya Ureno.
Hata hivyo, amekuwa ni mchezaji ambaye anaongoza kwa mabao mengi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, huku akiwa na jumla ya mabao 82, akimuacha...
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Sanamu ya Cristiano Ronaldo yazinduliwa, haifanani naye
Madeira is a pretty big Portuguese island that is known for two things: wine and Cristiano Ronaldo.
The Real Madrid superstar is the island’s greatest export (but if you can have wine and Ronaldo together, more power to you), and they honored him on Sunday by unveiling a statue of him. The only problem is that the statue looked nothing like him.
1.They got his free kick stance right! Kind of. It’s right based on the curve established by the rest of the statue.
2.Ronaldo has a very unique...