Kocha Liewig nusura azichape ‘kavukavu’ na shabiki uwanjani
Kocha wa Stand United, Patrick Liewig ameonyesha hasira yake hadharani na kutaka kuchapana makonde na shabiki baada ya mchezo wao dhidi ya Mwadui kumalizika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Kocha Liewig apata kibarua Azam
Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Liewig amepewa kazi ya kukinoa kikosi cha vijana cha Azam akichukua nafasi ya kocha Vivek Nagul aliyebwaga manyanga wiki iliyopita.
9 years ago
Bongo522 Oct
Cristiano Ronaldo aonesha mapenzi kwa shabiki aliyevamia uwanjani na kumkumbatia
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa kwenye mechi ya ligi ya mabingwa wa Ulaya dhidi ya PSG iliyochezwa jijini Paris, Ufaransa ameonesha mapenzi ya juu kwa shabiki aliyevamia uwanjani. Shabiki huyo alivamia uwanjani wakati Madrid ikipambana na PSG na alipomfikia Ronaldo, alimpokea na kumkumbatia. Hata wakati walinzi wa uwanjani wanaingia ili kumtoa, […]
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Liewig aibukia Stand United
>‘Ukisema cha nini, wenzio wanasema watakipata lini?’ Hiyo ndiyo kauli sahihi baada ya Stand United kusaini mkataba wa miaka mwili na kocha Patrick Liewig aliyetupiwa virago na Simba.
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Liewig, viongozi Stand hawaivi
Wakati uongozi wa Stand United ya Shinyanga ukionekana kuanza kumchoka kocha Patrick Liewing kutokana na msimamo wake,  yeye amebainisha kutotetereka na ataendelea kufanya kazi yake kwa weledi. Liewig ameingia kwenye mgogoro na wasaidizi wake huku mwenyekiti wa klabu hiyo, Amani Vincent akimzungumzia kuwa kocha asiyeshaurika, mkali na anayefanya kazi pasipo kuwaamini wasaidizi wake.
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Liewig ajitetea Stand United kuchemsha
Wakati uongozi wa Stand United ukiwakingia kifua mashabiki wa timu hiyo kwa kumfanyia vurugu kocha, Patrick Liewig mwenyewe amesema uwezo wake hauwezi kupimwa kwa mechi mbili.
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Liewig akomalia nyota Stand United
Kocha mkuu wa Stand United, Patrick Liewig amesema ataendelea kufanya kazi zake kwa weledi , hakuna mchezaji mkubwa kuliko klabu.
9 years ago
TheCitizen22 Dec
Liewig blames finishing for Stand’s poor show
Stand United head coach Patrick Liewig has singled out profligacy in front of goal as the major factor behind his side’s poor performance in the Mainland Premier League.
10 years ago
Vijimambo09 Mar
KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kocha-640x360.jpg)
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kochaa-640x360.jpg)
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Shabiki wangu usijinyonge, nitajirekebisha
Kuna hayawani mmoja alikwenda kuharibu ukweni bila kuelewa. Kakutana na Baba mkwe, akaanza kumsifia mshenga wake kwa jinsi alivyofanikisha ndoa yake. Alianzia pale alivyompa mshenga rupia za kumlainisha mtoto wa watu, kisha rupia za kuondolea udhia kwa wakwe.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania