Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutokana na mambo makubwa liyoifanyia idara hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi. … ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO KWA MAKUBWA ALIYOFANYA KATIKA MIAKA 10

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutokana na mambo makubwa liyoifanyia idara hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi. PICHA ZOTE NA IKULU  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aaga rasmi Mahakama leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (alieketi katikati mstari wa juu) akifatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Jaji Mohamed Othman Chande (aliesimama) wakati alipokwenda kuaga Mahakama. Hafla hiyo inafanyika hivi sasa ndani ya Ukumbi wa Mahakama Kuu Jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni baadhi ya majaji pamoja Waziri wa Katiba na Sheria, Mh. Dkt. Asha-Rose Migiro.Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu wakifatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Jaji Mohamed Othman Chande, wakati Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA, ATUMIA KISWAHILI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO

Rais Kikwete: Sera ya Nje itabakia ile ile
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa siasa ya nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni hayatabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani mwanzoni mwa Novemba, mwaka huu, 2015.
Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuwa yeye anaondoka madarakani lakini Tanzania waliyoizoea na kuijua itabakia pale pale na...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi TUZO YA JAMII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya KikweteRais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye TUZO YA JAMII itakayofanyika Aprili 13 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa tuzo hizo Gadiel Urioh, tuzo hizo zitatolewa kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Convention Center jijini Dar Es Salaam.
Utaratibu mzima wa upigaji kura umefafanuliwa kwenye video na / ama taarifa kwa vyombo vya habari hapa chini


 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA RASMI MAJAJI WATEULE WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA

Mhe. Augustine Mwarija- Jaji Mteule wa Mahakama ya Rufani,Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16, 2015. Kabla ya Uteuzi wake Mhe. Mwarija alikuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu- Divisheni ya Biashara, anayeshuhudia pembeni ni Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania.Mhe. Augustine Mwarija, Jaji Mteule wa Mahakama ya Rufani akitia sahihi hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa rasmi na Mhe. Rais kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGA UMOJA WA MATAIFA (UN)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete jana jumanne amelihutubia kwa mara ya mwisho Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mtaifa akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hotuba ya Mhe. Rais na ambayo iligusia mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, na maendeleo akitumia pia fursa hiyo kuwaanga viongozi wenzie na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, iliwasisimua wajumbe wa mkutano huo kiasi cha kukatishwa mara...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ateua wasajili wapya Bi. Katarina Revocati Mahakama ya Rufani na Rugalema Kahyoza Mahakama kuu

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kuanzia tarehe 5 Desemba, 2014.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue, imesema kabla ya uteuzi huo, Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Biashara.

Vilevile katika Taarifa hiyo, Rais Kikwete pia amemteua Bwana Rugalema J. Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama...

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama yatoa tuzo kwa Kikwete

IDARA ya Mahakama imetoa tuzo kwa Rais Jakaya Kikwete kwa kutambua mchango wake wa kukuza Demokrasia nchini, kuheshimu na kulinda Katiba na kuimarisha utawala bora na kuliongezea kasi gurudumu la utendaji haki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani