Mahakama yatoa tuzo kwa Kikwete
IDARA ya Mahakama imetoa tuzo kwa Rais Jakaya Kikwete kwa kutambua mchango wake wa kukuza Demokrasia nchini, kuheshimu na kulinda Katiba na kuimarisha utawala bora na kuliongezea kasi gurudumu la utendaji haki.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO KWA MAKUBWA ALIYOFANYA KATIKA MIAKA 10


5 years ago
Michuzi
MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO
Na Innocent Kansha- Mahakama Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam jana ilitoa hukumu tatu kwa njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama “Video Conference” kwa kushirikiana na Magereza ya Keko na Segerea Jijini Dar es salaam, huku ikiahirisha mashauri mawili. Mashauri matano ya mauaji yalisikilizwa mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, Mhe. Lameck Mlacha kwa kutumika njia hiyo. Kati ya mashauri hayo matatu yalisikilizwa na kutolewa hukumu, kwa...
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutokana na mambo makubwa liyoifanyia idara hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi. … ...
10 years ago
Habarileo24 Sep
TMF yatoa tuzo kwa waandishi
MFUKO wa Habari Tanzania (TMF) umetoa tuzo kwa waandishi wa habari, waliowezeshwa na mfuko huo na kazi zao kuleta mabadiliko chanya katika tasnia ya habari nchini.
10 years ago
Michuzi
CBE YATOA TUZO KWA WANAFUNZI BORA

Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam kimetoa tuzo kwa wanafunzi bora 12 waliohitimu na kufanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka wa masomo 2014/2015 ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa chuo hicho kuenzi na kuthamini mchango walioutoa katika maendeleo ya taaluma chuoni hapo.
Akikabidhi tuzo hizo katika hafla fupi iliyofanyika leo jijini Dar es salaam, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na mwenyekiti wa sasa wa wanafunzi waliomaliza...
9 years ago
Michuzi
MAHAKAMA KUU YATOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA WATATU WA UHUJUMU UCHUMI WA TRA


Mshitakiwa namba moja katika kesi ya kuhujumu uchumi, aliyekuwa naibu Kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki (Kulia) akiwa na wenzake aliyekuwa Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Habibu Mponezya na Bulton Mponezya wakiwa katika Mahakama Kuu Tanzania jijini Dar es Salaam leo wakisomewa shtaka linalowakikabili la makosa ya jinai na uhujumu uchumi.

10 years ago
Michuzi.jpg)
UN-ICTR Yatoa Msaada wa Vifaa vya kazi kwa Mahakama Kuu ya Tanzania
Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yenye makao yake makuu mjini Arusha imekabidhi msaada wa vifaa vya ki-eletronic vinavyosaidia kuongeza ufanisi wa kazi za kimakahakama kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tazania Mhe. Othman Mohamed Chande katika sherehe fupi iliyofanyika mahakamani hapo Arusha. Vifaa hivyo ni pamoja na mashine 19 ziitwazo Dictaphone Machines na mashine nyingine 19 ziitwazo Transcribers. Viffaa hivyo vilikabidhiwa na Kaimu Mkuu wa...
10 years ago
Michuzi
KAMATI YA KUSIMAMIA TUZO ZA TASWA YATOA ORODHA YA WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO HIZO

Usiku wa Tuzo utafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.
Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku...
10 years ago
Michuzi
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yatoa gari kwa jeshi la magereza arusha

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania