KESI YA MSOFE NA MWENZAKE YAAHIRISHWA
![](http://api.ning.com:80/files/aDnEqQYbuL*JXWP87OtJnj11lPp0p*9X-RG1EvW42qkHkjOubzPxxRygZs8LrQqaA7CZpZt41HKb9Js4RHOs5JYJRH7w6CIx/msofe.jpg?width=650)
KESI ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuahirishwa hadi Oktoba 13 mwaka huu kutokana na uchunguzi kutokamilika. Msofe na Makongoro wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya Onesphory Kitoli. Kesi hiyo imetajwa chini ya  Hakimu Mkazi Hellen Riwa Papa Msofe (katikati) akishuka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7rTqI-8hIfvMEz50H2g84dkdbPM6oyYQGmeM5R7BTzfbu4iytMQCIzC7*Th1dYQq-peka6jTSYb4SJ5tUXsJWLC/13.gif)
PAPAA MSOFE AUGUA, ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI, KESI YAKE YAAHIRISHWA
11 years ago
Habarileo18 Feb
Mshitakiwa kesi ya Papaa Msofe alalamika
MSHITAKIWA wa kesi ya mauaji, Makongoro Nyerere anayeshitakiwa pamoja na mfanyabiashara maarufu Marijan Abubakar ‘Papaa Msofe’, amedai kuwa upande wa Jamhuri unawakomesha kwa kuwa kesi ni ya muda mrefu.
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Papa Msofe afutiwa kesi ya mauaji
10 years ago
Habarileo25 Jun
‘Papa Msofe’ afutiwa kesi, akamatwa tena
MFANYABIASHARA maarufu Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, wamefutiwa kesi ya mauaji iliyokuwa inawakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Rv0garHHy2M/Uwydlg7E4zI/AAAAAAAFPeY/elZXrwA5ycE/s72-c/DSC_7423.jpg)
UPELELEZI WA KESI YA KINA PAPA MSOFE BADO UNAENDELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Rv0garHHy2M/Uwydlg7E4zI/AAAAAAAFPeY/elZXrwA5ycE/s1600/DSC_7423.jpg)
KESI ya mauaji ya kukusudia inayomkabili Mfanyabiashara maarufu nchini,Marijan Abubakar maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake Makongoro Joseph Nyerere katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, bado inafanyiwa kazi kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) kwa ajili ya hatua zaidi.
Kesi hiyo imeahirishwa leo, na Hakimu Mkazi Hallen Riwa amesema kwa kuwa jalada la kesi liko kwa DPP na kwamba washtakiwa wanatakiwa kuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Kesi ya ghorofa yaahirishwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, jana imeahirisha kesi ya mauaji ya watu 27 kutokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya...
10 years ago
Habarileo03 Jul
Kesi ya Gwajima yaahirishwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imeshindwa kumsomea maelezo ya awali Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya kutumia lugha ya matusi na kushindwa kuhifadhi silaha.
10 years ago
Habarileo03 Sep
Kesi ya Kazembe na wenzake yaahirishwa
KESI ya mauaji inayomkabili Ofisa Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirishwa hadi Septemba 16 mwaka huu.
11 years ago
Habarileo15 Jul
Kesi ya wafanyakazi Swissport yaahirishwa
KESI inayowakabili wafanyakazi wawili wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo ya Swissport, imeshindwa kusikilizwa kutokana na wakili wa washitakiwa kutofika mahakamani.