Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TOCHI YA MOROGORO : Vifo vya wakulima, wafugaji Moro vitakomeshwa lini?

Septemba 15 mwaka huu katika Kijiji cha Tindiga, Tarafa ya Masanze Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro, mkulima mmoja aliyeuawa kwa kushambuliwa na watu wawili wanaosadikiwa kuwai wafugaji wa jamii Kimasai baada ya kulisha ng’ombe zao kwenye shamba lake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mmoja Moro

Mkulima mmoja ameuawa kwa kupigwa fimbo kichwani na watu wanaodaiwa kuwa ni wafugaji wa jamii ya Kimasai kwenye ugomvi uliotokea baada ya wafugaji hao kulisha ng’ombe wao kwenye shamba la mkulima huyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

TOCHI YA MOROGORO : Pongezi TFDA kufunga machinjio Morogoro

Panapotokea mtu akafanya kazi nzuri au jambo jema ni vyema akapongezwa kwa hilo, ikiwa kwa kupewa zawadi au kusifiwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mtu mmoja, ng’ombe 71 Morogoro

FB_IMG_1450111743756NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO

MTU mmoja amefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa, akiwamo askari polisi mmoja baada ya kutokea mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Dihinda, Kata ya Kanga, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Dihinda, Hariri Kilama, alisema tukio hilo lilitokea Desemba 11, saa 11 jioni.

Kwa mujibu wa Kilama, tukio hilo lilisababishwa na mfugaji mmoja aliyejulikana kwa jina...

 

9 years ago

Michuzi

MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI WALETA MAAFA KATIKA KIJIJI CHA DIHINDA MVOMERO MKOANI MOROGORO


Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiangalia Ng'ombe walio uwawa katika Mgogoro wa wakulima na Wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero, katika tukio lililotokea Desemba 12 mwaka huu.Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mvomero, Betty Mkwasa wakiwajulia hali watu waliojeruhiwa katika mgogoro wa wakulima na wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero Desemba 12...

 

5 years ago

Michuzi

MVUA YASABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI MOROGORO


NA FARIDA SAIDY MOROGORO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo Mbalimbali Mkoani Morogoro zimesababisha Vifo vya watu wawili jana March 6 majira ya saa moja usiku katika Mtaa wa Kihimbwa Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro.

Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bw Antopas Ally amezungumza hayo na waandishi wa habari mara baada ya kufika Eneo husika na kusema kuwa waliokumbwa na maafa hayo ni mwanaume na mwanamke ambao walikuwa wanapata vinywaji katika duka moja lililopo karibu na daraja mtaani...

 

5 years ago

BBCSwahili

Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?

Hadi kufikia sasa Uingereza inaongoza kwa idadi ya walioambukizwa virusi vya corona Ulaya na kote duniani kulingana na takwimu rasmi. Kipi kilichokoseka?

 

10 years ago

Mwananchi

Lini wakulima wa Tanzania watasaidiwa wafurahie kilimo?

Licha ya ukweli kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania wanategemea kilimo kuendesha maisha yao ya kila siku nchini, hali ya sekta hiyo ni mbaya, kiasi cha kusababisha baadhi yao kukimbilia mijini kufanya shughuli nyingine, zikiwamo za ulinzi na wahudumu wa baa.

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA NA WAFUGAJI CCM

Na Joachim Mushi, Dodoma.MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu amesema Serikali itakayoundwa na chama hicho endapo itashika dola katika Uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015 itahakikisha inapima ardhi yote ya vijiji pamoja na kuainisha mipaka ili kukomesha migogoro ya ardhi. 
 Bi. Suluhu ametoa kauli hiyo alipokuwa akinadi ilaya ya CCM katika Majimbo mawili tofauti ya Kongwa na Chilonwa Mkoa wa Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kufanya kampeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani