Lini wakulima wa Tanzania watasaidiwa wafurahie kilimo?
Licha ya ukweli kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania wanategemea kilimo kuendesha maisha yao ya kila siku nchini, hali ya sekta hiyo ni mbaya, kiasi cha kusababisha baadhi yao kukimbilia mijini kufanya shughuli nyingine, zikiwamo za ulinzi na wahudumu wa baa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAKULIMA DODOMA, WASIFU UFANISI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) KATIKA KUWEZESHA USAFIRISHAJI WA MAZAO NA UAGIZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
TOCHI YA MOROGORO : Vifo vya wakulima, wafugaji Moro vitakomeshwa lini?
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Wakulima hatarini kukosa pembejeo za kilimo
10 years ago
Habarileo12 Dec
Wakulima 9,000 wanufaika na elimu ya kilimo
WAKULIMA zaidi ya 9,000 kutoka wilaya mbalimbali mkoani Arusha, wamenufaika na elimu ya kuboresha kilimo na kuongezea thamani mazao yao na hatimaye kuwezesha kulima kilimo chenye tija na kuweza kupata masoko ndani na nje ya nchi.
10 years ago
Habarileo09 Jul
Wakulima waambiwa waachane na kilimo cha mazoea
KITUO cha Utafiti na Mabadiliko ya Tabia Nchi (CCCS) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kimewatahadharisha wakulima nchini kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo.
11 years ago
GPLWAKULIMA WATESWA NA USAMBAZAJI DAWA FEKI ZA KILIMO
11 years ago
Mwananchi09 Jul
KILIMO: ‘Kampuni za matrekta hazijawakomboa wakulima wadogo’
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Kilimo cha ufuta chawainua wakulima Babati